Miongoni mwa fursa zilizojificha kwenye ‘kero na kubezwa’ ni ujasiriamali wa ukusanyaji na uzoaji wa takataka.

Ndio, takataka ni fursa kwakuwa ‘unawaondolea kero na hatari ya magonjwa’ na ukitaka kuamini hilo….ungana na Joseph Mpangala aliyemtembelea Wende Adam, mama wa watoto watatu ambaye, katikati ya changamoto za kiuchumi, aliona fursa mahali ambapo wengine waliona ni taka.

#AzamTVUpdates
Mhariri | @moseskwindi

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *