Mwewe amefika Mbezi Mwisho amekutana na wenye nyumba waliofungua maji kwenye Bomba wakati yalipokatika na kuliacha wazi kisha wakaenda zao vacation mwisho wa Mwaka.
Maji yamerudi na sasa yanamwagika na kusambaa mtaani.
Mwewe anawakumbusha wananchi huko majumbani kama umefungua bomba na kubaini maji hayatoki basi funga usiliache wazi matokeo yake ni kama haya hapa kwa huyu ndugu yetu.