#HABARI: Mkuu wa Mkoa wa Kagera, Mhe. Hajati Fatma Abubakar Mwasa, ametoa onyo kali kwa vijana mkoani humo kuacha tabia za wizi na udokozi wanapopewa fursa za ajira.

Akizungumza wakati wa sherehe za kuukaribisha mwaka mpya wa 2026 zilizowahusisha watumishi wa umma na sekta binafsi wilayani Bukoba, Mkuu huyo wa Mkoa alisisitiza kuwa uaminifu ndio msingi wa mafanikio na kuonya kuwa yeyote atakayebainika kukiuka maadili ya kazi atachukuliwa hatua kali za kisheria, ikiwemo kufungwa gerezani.

Powered by #MCHEZOSUPA

JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA:

Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.

#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
#Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *