Wataalamu wa masuala ya fedha na uchumi wameiomba serikali kufanya maboresho ya sera za uchumi ili kutoa nafasi zaidi ya matumizi ya fedha kidijitali huku dunia ikishuhudia ukuaji wa biashara kwa njia hiyo.

Mbali na wataalamu pia wachambuzi wa masuala ya uchumi na wafanyabiashara wametoa kauli zao kuhusu uchumi wa kidijiti.

#AzamTVUpdates
Mhariri | @moseskwindi

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *