#HABARI: Zaidi ya watu hamsini waliokuwa wakiburudika katika kumbi za Suzzy Lounge mji wa kibiashara wa Katoro mkoani Geita, wamenusurika kifo baada ya moto ambao chanzo chake hakijafahamika kuzuka na kuteketeza kumbi hizo, pamoja na maghala ya kuhifadhia vinywaji na kusababisha hasara kubwa.
Powered by #MCHEZOSUPA
JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA:
–
Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.
#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania.