Wakazi wa mamlaka ya mji mdogo wa katoro wilayani Geita Mkoani Geita wameiomba serikali kuweka kituo cha Zimamoto na uokoaji katika eneo hilo baada ya moto mkubwa kuzuka na kuteketeza eneo maarufu la starehe linalojukana kama Suzy Lounge.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *