Serikali imetoa onyo kwa watendaji wanaosimamia mradi wa soko la kimataifa la dagaa lililopo Chato maarufu kama “Chato Beach” kukaa mbali za hila na ubadhirifu wakati wa ugawaji wa vizimba vya soko.

Kauli ya serikali imetolewa na Waziri Wa Mifugo na Uvuvi, Dkt. Bashiru Ally Kakurwa na kusisitiza kuwa ni lazima vizimba hivyo viwafikie walengwa waliokusudiwa wakati wa kuanzishwa kwa mradi huo.

Mhariri @moseskwindi

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *