Hamas: Hakuna shaka Marekani imehusika na shambulio la DohaHamas: Hakuna shaka Marekani imehusika na shambulio la Doha

[ad_1]

Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina Hamas imelaani vikali ushirikiano wa Marekani na Israel katika shambulizi la anga dhidi ya Qatar na jaribio la mauaji dhidi ya viongozi wa kundi hilo hilo la kupigania ukombozi wa Palestina, ikisisitiza kuwa Washington na Tel Aviv zinataka kusambaratisha mazungumzo ya kusitisha mapigano katika Ukanda wa Gaza.

[ad_2]

BONYEZA HAPA KUSOMA HABARI KAMILI

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *