Wananchi wa kitongoji cha Mahove wilayani Njombe wameomba kujengewa kingo za bwawa katika kijiji cha Luponde ambazo kwa sasa zipo hatarini kuporomoka hali inayohofiwa huenda ikasababisha mafuriko yatakayoharibu miundombinu na mashamba.
Emmanuel Kalemba ana maelezo zaidi.
Mhariri @moseskwindi