Madereva wa Malori Nyakati za Usiku wengi hupitiwa na Usingizi wakiwa wanasongesha chombo, je yapi wanapitia na yapi yanawafika …
Ni leo kuanzia Moja na nusu Usiku, kwenye Sentro ya Clouds Tv..
Kachero wa usiku Kama Mchana @ntibashima_tz atanyoosha akiwa na Baadhi ya Madereva hao wanaotumia Barabara ya Bagamoyo…. #ukm #usikukamamchana

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *