Serikali kupitia Mamlaka ya Udhibiti wa Nafaka na Mazao mchanganyiko (COPRA), imetoa bure mbegu za mbaazi tani 2.6 kwa wakulima mkoani Simiyu, ambapo katika msimu wa kilimo wa Mwaka 2025/2026 Mkoa huo, unatarajia kulima hekta 40,297 za mbaazi na kupata tani 40,097.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *