Msanii wa Bongo Fleva @iamkevincash amesimulia namna mama yake alivyojitolea kusaidia kukuza kipaji chake kwa kumkutanisha na wasanii wakubwa kama @gnakowarawara na @darassacmg255 ili aweze kushirikiana nao.
Amesema mama yake alipokutana na Darassa safarini, alimuomba amsaidie mwanawe, na Darassa alikubali. Wakati Kevin akiishi kwa Darassa, alipata nafasi ya kukutana na @jaivah na wakafanya kazi pamoja.
Cc @missloloh_ @djfantastic255
#TheSparkShow
#clouds26nyoosha