Madiwani mkoani Lindi wamehimizwa kuwa na shughuli halali za kuwaingizia kipato, ikiwemo kufanya biashara na kulima mazao ya biashara kama korosho na ufuta, badala ya kutegemea halmashauri kama chanzo pekee cha mapato.

Ushauri huo umetolewa kwa lengo la kuwaimarisha kiuchumi madiwani na kuongeza uwajibikaji wao katika kuwahudumia wananchi.

#AzamTVUpdates
✍Omari Mikoma
Mhariri | @claud_jm

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *