Uingereza yaweka marufuku ya matangazo ya vyakula visivyo na afya kwenye televisheni na mitandaoni
Kanuni hizi zinatarajiwa kupunguza idadi ya watoto 20,000 wanaoishi na unene kupita kiasi na kuleta faida za kiafya zenye thamani ya takribani dola bilioni 2.68.