SELAI PRE AND PRIMARY SCHOOL ni Shule mpya iliyojengwa katika eneo la Mawelewele Kwakilosa, Kata ya Mwangata Manispaa ya Iringa.

Shule hii ina mazingira salama, yatakayowezesha kumpa mtoto elimu bora na kumkuza kiakili, maadili na ujasiri wa kesho.

📚 Ufundishaji wa Kisasa
đź‘¶ Malezi yenye uangalizi wa karibu
📹 Usalama wa CCTV camera
đź’§ Maji ya kutosha na mazingira rafiki kwa mtoto
🌍 Msingi imara wa kitaifa na kimataifa

👉 Jenga mustakabali wa mtoto wako leo, kwa msingi sahihi.

📍 Iringa, Tanzania
Tupigie kwa namba📞 0651 134 140 au 0658 239 123

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *