#Habari: Wazee wa Manispaa ya Singida, wameiomba Serikali kuchukua hatua za haraka kuwaondoa wanawake wanaofanya biashara haramu ya kuuza miili yao (madadapoa), wanaofanyia shughuli zao karibu na nyumba za ibada, shule na makazi ya watu, jambo ambalo ni hatari kwa wanafunzi kujifunza tabia mbaya na kuondoa imani kwa waumini.

Wakizungumza katika kikao kilichoitishwa na Mbunge wa Singida Mjini, Yagi Kiaratu, wazee hao wamesema kuwa uwepo wa madadapoa katika maeneo hayo imekuwa kero kubwa kwa wananchi, hususan wanafunzi na waumini, kutokana na kelele, vitendo visivyofaa na kukosekana kwa maadili.

Powered by #MCHEZOSUPA


‎JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA:
‎-
‎Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.

‎#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
‎#Follow @itvtz @radioonetanzania
‎@capitaldigitaltanzania.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *