Rais Samia Suluhu Hassan amemuweka kando aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene.

Taarifa ya Ikulu iliyosainiwa na Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais Ikulu, inasema kuwa uteuzi wa Simbachawene umetenguliwa na nafasi yake imechukuliwa Patrobas Katambi.

Kabla ya uteuzi huo Katambi alikuwa Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara.

#StarTvUpdate

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *