Michuano ya kuwania kombe la mataifa ya Afrika AFCON ambayo imekuwa ikiendelea nchini Moroko inaingia hatua ya robo fainali leo huku Maliikiwa na miadi na Senegal. Wenyeji Moroko watakwaana na Cameroon mjini Rabat.

Hapo kesho Algeria itakuwa na kibarua kigumu dhidi ya Nigeria na Misri nao watapepetana na Ivory Coast. Ivory Coast, mabingwa wa kwanza watetezi kufika robo fainali tangu 2010, wana rekodi mbaya ya AFCON dhidi ya Misri, wakipoteza mechi saba kati ya 11 na kushinda moja pekee.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *