Kampuni ya Azam Media Ltd imepewa tuzo maalum na Serikali ya kuitambua kuwa kampuni inayotoa kubwa ya mafunzo kwa vitendo (field and internship) kwa wanafunzi wa vyuo mbalimbali vya elimu nchini.
Akikabidhi tuzo hiyo, Naibu Waziri wa Kazi, Ajira na Mahusiano, Rahma Riyadh Kisuo amezitaka kampuni nyingine kote nchini kuiga mfano wa Azam Media Limited katika utoaji wa fursa hizo ili kuweza kujenga uwezo wa wanafunzi kwa ajili ya soko la ajira.
Mhariri @moseskwindi