Unajua muonekano wako unaweza kukufukuzisha kazi? huko Marekani mmoja wa wahudumu wa afya amefukuzwa kazi baada ya wagonjwa kulalamika kuwa hawaridhishwi na mtindo wake wa nywele na pia inavuja miiko ya kazi na kuwa mtindo huo wa nywele hauendani na kazi hiyo.
Mhariri @moseskwindi
#AzamTVUpdates