#HABARI: Sakata la madai ya fidia kwa wakazi wa vijiji vya Timkeni na Kazima wilayani Tabora waliodai kutwaliwa zaidi ya ekari elfu mbili ili kupisha ujenzi wa mradi wa kiwanda cha mbolea huku Serikali ikisema hawakumzuia mtu yeyote kuendeleza eneo lake, limechukua sura mpya, baada ya wananchi hao kuibuka na nyaraka za uthamini zinazothibitisha kuwa malipo yalipaswa kufanyika tangu Agosti, 2025 wakiisisitiza Serikali kuwalipa stahiki zao.
Powered by #MCHEZOSUPA
JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA:
-
Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.
#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
#Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania.
(Feed generated with FetchRSS)