Miongoni mwa taarifa zilizoandaliwa ni: Rais Donald Trump wa Marekani ametangaza ushuru kwa nchi itakayofanya biashara na Iran kufuatia ukandamaziaji unaofanywa na serikali ya mjini Tehran dhidi ya waandamanaji wanaopinga ugumu wa maisha / Unyanyasaji wa kingono unaohusiana na vita mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo umeongezeka