JKCI YAHAMASISHA AFYA YA MOYO, MAGONJWA YASIOAMBUKIZA
Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI) kwa kushirikiana na Serikali za Wanafunzi wa Vyuo Vikuu, Chuo Kikuu cha Muhas, Chuo kikuu cha Dar es Salaam, Serikali ya Mkoa wa Dar es Salaam, pamoja na wauzaji wa magari UDOM, zimeungana kuandaa IST Festival linalotarajiwa kufanyika tarehe 7/2/2026.
Tamasha hilo linalenga kuhamasisha afya ya moyo na magonjwa yasiyoambukiza, na litakwenda sambamba na zoezi la uchangiaji damu.
#SentroCloudstv
