Mabadiliko ya tabianchi yameendelea kusababisha mvua zisizotabirika hali inayotishia kilimo na usalama wa chakula kwa ujumla wake huku waathirika wakubwa zaidi wakiwa wakulima.
Ripoti ya Faraja Samo inaangazia namna mabadiliko ya tabianchi yanavyogeuza mvua kuwa kitendawili hatarishi.
Mhariri @moseskwindi
