Kampuni ya Azam Marine imewahakikishia abiria watakaosafiri na Boti mpya ya Kilimanjaro IX usalama wa kutosha ndani ya boti hiyo huku huduma za kufuatilia moja kwa moja vipindi vya Azam TV na intaneti kwa madaraja ya Royal na VIP ikitolewa bure.

Mhariri @moseskwindi

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *