Uongozi wa mkoa wa Arusha umepiga marufuku uanzishwaji holela wa sehemu za kushusha na kupandisha abiria wa mabasi ya mikoani ‘vituo bubu’ katika maeneo mbalimbali ya jiji hilo.

Hata hivyo uamuzi huo unaolenga kukabiliana na adha ya foleni za barabarani umepokewa kwa hisia mseto na wakazi wa jiji hilo.

Mhariri @moseskwindi

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *