MTU mmoja aliyejulikana kwa jina la Juma Suleiman Juma Mkaazi wa Pujini Wilaya ya Chake Chake mwenye umri wa miaka 51 afariki dunia baada ya kuangukiwa na kifusi.