#HABARI: Wiki moja baada ya Rais William Ruto kuibua madai ya ufisadi kukithiri katika kamati za bunge nchini Kenya, viongozi na wananchi nchini humo sasa wanamtaka Rais Ruto kuongoza katika vita dhidi ya ufisadi katika Serikali yake.
#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
#Follow @itvtz @radioonetanzania