Kama ulishwahi kuhisi umecheleweshewa kupokea mzigo wako ambao uliagiza mahali popote pale basi hujawahi kucheleweshewa, huko nchini Libya jijini Tripoli mfanyabiashara wa simu amepokea mzigo huo wa simu alioagiza tangu mwaka 2010, ambapo hadi sasa ni miaka 16 tangu aagize bidhaa hizo kutokana na mzigo huokuzuiliwa kwa muda mrefu.

✍Roland John
Mhariri | @moseskwindi

#AzamTVUpdates

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *