Katibu wa NEC ,Itikadi ,Uenezi na Mafunzo Ndugu Kenani Labani Kihongosi @kenanikihongosi anaendela na ziara yake ya Kichama yenye lengo la Kufuatilia Utekelezaji wa Ilani na ahadi za Chama ambapo amekutana na kutatua Changamoto za watu mbalimbali ikiwepo wenye Ulemavu.

#kilichoborakabisa

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *