Mkuu wa mkoa wa Manyara Queen Sendiga ametangaza operesheni kupitia wenyeviti na watendaji wa vijiji na mitaa kuhakikisha watoto waliofaulu na wanaopaswa kuanza shule wanaripoti kwenye shule walizopangiwa mara moja huku akiwataka wakuu wa shule kutokuweka kikwazo chochote katika kuwapokea watoto kwa kigezo cha kutoripoti na rimu na mahitaji mengine.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *