#MEZAHURU”….watu wengi tuna shida kwenye kujifunza makubaliano ya kibiashara….mtu yeyote asiyefanya biashara hawezi kuishi….hata ikiwa ajira hiyo ni biashara ndio maana unalipwa, hakuna kitu ambacho sio biashara duniani….” Cosmas Maduhu – Mtaalamu wa Saikolojia
Powered by #MCHEZOSUPA
JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA:
-
Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.
#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
#Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania.