#HABARI: Waziri Mkuu wa Hispania, Pedro Sánchez, ameahidi kufuatilia kwa kina sababu za treni mbili za mwendokasi kugongana kusini mwa Hispania, ajali iliyosababisha vifo vya takriban watu 40, huku waokoaji wakiendelea kuchunguza mabaki ya treni hizo baada ya kutembelea eneo la ajali, Sánchez pia ametangaza siku tatu za maombolezo ya kitaifa kwa heshima ya waathiriwa.

Zaidi ya watu 120 wengine wamejeruhiwa baada ya mabehewa ya treni iliyokuwa ikielekea Madrid kuacha reli na kuvuka hadi njia ya reli ya upande wa pili, kisha kugongana na treni nyingine iliyokuwa ikisafiri kuelekea Adamuz, Jumapili jioni.

Ajali hiyo ni mbaya zaidi kuwahi kutokea nchini humo katika kipindi cha zaidi ya miaka kumi.

Powered by #MCHEZOSUPA

JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA:

Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.

#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *