Hii ndiyo zawadi aliyopewa Rais Mwinyi baada ya uzinduzi wa boti mpya ya kisasa ya Kilimanjaro IX – The Dragon of the Sea, yenye uwezo wa kubeba abiria 631 kwa wakati mmoja.
Uzinduzi huo umefanyika katika fukwe zilizopo viunga vya Hotel Verde, Mkoa wa Mjini Magharibi, na umehudhuriwa na viongozi mbalimbali wa serikali, wadau wa sekta ya usafirishaji pamoja na wananchi.
#AzamTVUpdates
✍Jairo Mtitu
Mhariri | John Mbalamwezi