#HABARI: Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Mkoa wa Kigoma, imetoa msaada wa mahitaji mbalimbali ya wanafunzi wenye mahitaji maalum katika shule ya Msingi Kabanga Wilayani Kasulu ikiwa na lengo la kurejesha shukrani kwa jamii.
TRA imetoa msaada huo baada ya kutembelea shule hiyo katika ziara iliyoongozwa na Meneja Msaidizi Huduma kwa Mlipakodi, Bw. Kwizera Ntibakazi, aliyemwakilisha Meneja wa Mkoa Bw. Beatus Nchota, pamoja na watumishi wengine wa TRA.
Powered by #MCHEZOSUPA
JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA:
-
Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.
#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
#Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania.
(Feed generated with FetchRSS)