Katibu Bavicha adaiwa kuchukuliwa na watu wasiojulikana
Katibu wa Baraza la Vijana jimbo la Lupembe, Abedinego Sanga, anadaiwa kuchukuliwa na watu...
Katibu wa Baraza la Vijana jimbo la Lupembe, Abedinego Sanga, anadaiwa kuchukuliwa na watu...
Israel imeendeleza mashambulizi makali Gaza City huku wajumbe wa upatanishi wakikutana mjini Cairo kujadili utekelezaji wa mpango wa amani wa uliopendekezwa na Rais Donald Trump, na ambao umekubaliwa kwa sehemu…
Kocha wa timu ya Pamba Jiji, Francis Baraza ametoa pongezi kwa usajili ilioufanyika Stand United, huku akikiri kazi uwanjani umeonekana kupitia wachezaji hao.
Na hivi karibuni, Mkurugenzi wa Michezo wa Barcelona, Deco alisema kuwa Rashford anawapa kile...
Bodi ya Ligi Kuu Bara imewatangaza washindi wa mwezi Septemba kwenye ligi hiyo kwa upande wa kocha na mchezaji.
Bodi ya Ligi Kuu Bara imewatangaza washindi wa mwezi Septemba kwenye ligi hiyo kwa upande wa kocha na mchezaji.
Stoo ya kuhifadhia manukato (pafyumu) iliyoko katika ghorofa la mitaa ya Msimbazi na Mkunguni...
Wakati Shilingi ya Tanzania ikiendelea kupanda thamani dhidi ya fedha za kigeni kila siku...
Ushindi wa Arsenal dhidi ya West Ham juzi ulikuwa wa kipekee kwa Bukayo Saka, kwani alifunga...
Wapatanishi wa Israel na Hamas wamekusanyika Jumapili mjini Cairo kwa mazungumzo ya kujaribu kumaliza mzozo wa takriban miaka miwili huko Gaza.
đź”´TAMASHA LA MICHEZO,... 05, OKTOBA 2025
Watu watano wameuawa nchini Ukraine kufuatia mashambulizi ya Urusi usiku wa kuamkia Jumapili.
Mwanadiplomasia mkuu wa Iran amesema ushirikiano kati ya Tehran na shirika la Umoja wa Mataifa la kuratibu matumizi ya nishati ya nyuklia (IAEA) hauna tena umuhimu baada ya nchi hiyo…
Yván Gil Waziri wa Mambo ya Nje wa Venezuela amemtaja Benjamin Netanyahu Waziri Mkuu wa Israel kama muuaji sugu anayeendelea kuhujumu jitihada za kuhitimisha vita huko Gaza.
Maandamano ya vijana maarufu kama GenZ yameendelea kuyatikisa mataifa kadhaa ya Afrika ambapo waandamanaji wanadai uwajibikaji wa viongozi na uwepo wa huduma bora za kijamii.
Waziri wa Michezo na Vijana wa Iran, Ahmad Donyamali amewataka mawaziri wenzake katika Jumuiya ya Ushirikiano wa Kiislamu (OIC) kuunda muungano wa pamoja dhidi ya utawala wa Israel ambao utasaidia…
Wakfu wa Nelson Mandela, taasisi isiyo ya kiserikali iliyoanzishwa kwa ajili ya kumbukumbu ya rais wa kwanza mweusi wa Afrika Kusini, imelaani amelaani vikali shambulio la utawala wa Israel dhidi…
Serikali ya Somalia imethibitisha kuwa wapiganaji saba wa kundi la kigaidi la Al-Shabab wanaofungamana na kundi la kigaidi la al-Qaeda wameuawa baada ya makabiliano ya saa kadhaa kufuatia shambulio kubwa…
Mafuriko na maporomoko ya ardhi yamesababisha vifo vya takriban watu 20 katika eneo la milima la kaskazini mwa India la Darjeeling.
Kama umewahi kupewa zawadi ya kiwanja (ardhi) lakini hakuna hati rasmi ya kimaandishi, zawadi yako ni batili kisheria. Msikilize Mwanasheria Bashir Yakubu akifafanua zaidi. #SheriaUpdates #AzamTVUpdates
Tamasha la Irreecha hufanyika ili kumshukuru Mungu, ambaye Waoromo humwita Waaqa. Wengine bado wanatekeleza Waaqqeffannaa wa kimapokeo, ambayo ni ibada ya Waaqa.
Mgombea wa ubunge wa Jimbo la Mbulu Vijijini kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Emmanuel Nuwas, amemuomba mgombea urais wa Tanzania kw atiketi ya CCM, Dkt. Samia Suluhu Hassan endapo…
Khalid Qaddoumi Mwakilishi wa Harakati ya Mapambano yaKiislamu ya Palestina Hamas nchini Iran amesema kuwa harakati hiyo ya muqawama ya Palestina imekuwa tayari tangu awali kubadilishana mateka na kusimamisha vita…
Mkuu wa wilaya ya Ilala, Edward Mpogolo amevipongeza vikundi vya wajasiriamali wa halmashauri ya jiji la Dar es Salaam waliopokea mikopo ya pikipiki na bajaji zilizotokana na mikopo ya asilimia…
#HABARI: Mkuu wa Wilaya ya Ilala Bw. Edward Mpogolo, amewataka vijana, wanawake na makundi maalum Jijini Dar es Salaam, kutumia vyombo vya usafirishaji walivyokabidhiwa ikiwemo Pikipiki 39 na Bajaji 6…
Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Udhibiti wa Nafaka na Mazao Mchanganyiko (COPRA), Irene Mlola amesema Tanzania imeshika nafasi ya pili duniani kwa uzalishaji wa mbaazi, huku msimu wa mwaka jana…
Hello Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa Ready to continue your informative journey with us? Renew subscription Maybe later…
Hello Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa Ready to continue your informative journey with us? Renew subscription Maybe later…
Kwa mzazi au mlezi, kuelewa jinsi ya kumlea mtoto katika hatua hii ni jambo muhimu sana ili...
Natambua kuwa kuna baadhi ya mambo yalifanywa na wazee waliotutangulia na huenda yakawa na...
Hello Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa Ready to continue your informative journey with us? Renew subscription Maybe later…
#HABARI: Rais wa Kenya, William Ruto amesema Wapinzani wake wakisiasa hawana uwezo wa kuongoza taifa la Kenya. Powered by #MCHEZOSUPA JINSI YA KISHIRIKI MCHEZO SUPA: - 📱Tuma 1000 kupitia Airtel…
Wapatanishi wa Israel na Palestina wanatarajiwa nchini Misri leo Jumapili, Oktoba 5. Mazungumzo yasiyo ya moja kwa moja yanatarajiwa kuanza kabla ya Jumatatu. Imechapishwa: 05/10/2025 – 10:39 Dakika 2 Wakati…
Kwa makabila haya mama asipozaa watoto wa kiume, kunakuwa na tatizo. Inapotokea hivyo, ndugu wa...
Mgombea ubunge wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Jimbo la Mkinga, Twaha Mwakioja, ameahidi kushughulikia changamoto za msingi zinazowakabili wananchi wa jimbo hilo, zikiwemo huduma za afya, elimu na miundombinu ya…
Nchini Senegal, IMF inaunga mkono kuanzishwa tena kwa mpango wa usaidizi wa kiuchumi, zaidi ya mwaka mmoja baada ya kusitisha ule wa awali kufuatia kufichuliwa kwa deni lililofichwa. Msaada huu…
Ukweli ni kwamba uongo umeota mizizi katika maeneo mengi ya maisha ya kila siku, na moja kati...
Mke wa rais wa zamani Simone Ehivet, ambaye anagombea katika uchaguzi wa Oktoba 25, amepata uungwaji mkono kutoka ndani ya upinzani: ule wa waziri wa zamani Charles BlĂ© GoudĂ©, ambaye…
Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Emmanuel Nchimbi, ameahidi kuwa kama CCM itachaguliwa kuendelea kuongoza nchi, wataendelea kuboresha huduma za kijamii na kiuchumi katika…
Marekani ilitangaza Ijumaa, siku ya Oktoba 3, kwamba ilishambulia meli nyingine kutoka Venezuela. Kwa mujibu wa Waziri wa Ulinzi wa Marekani, Wafanyabiashara wanne madawa ya kulevya ndo walikuwa ndani ya…
SIKU chache baada ya Bodi ya Ligi Zanzibar kuitoza faini timu ya Junguni kwa kufika uwanjani bila ya kuvaa jezi, uongozi wa timu hiyo umetaja sababu ya jambo hilo kutokea.
Mgombea ubunge wa Jimbo la Nzega Vijijini kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Neto Kapalata, ameahidi kusimamia utekelezaji wa Ilani ya CCM kwa kuhakikisha Ndala inakuwa mji mdogo wa…
Vita vya Ghaza na jinai nyingine zinazofanywa na utawala ghasibu wa Israel zimekabiliwa na msururu wa mashinikizo ya kisiasa, kiuchumi na kiutamaduni ambayo yameufanya utawala huo ghasibu kuwa taifa linalochukiwa…
Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran Ismaeil Baqaei amelaani vikali shambulio la utawala wa Israel dhidi ya msafara wa kimataifa wa meli nyingi wa Sumud uliokuwa ukielekea…
Khalil al-Hayya kiongozi wa ngazi ya juu wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) amejitokeza kwa mara ya kwanza tangu utawala wa Israel ulipowashambulia huko Doha maafisa wa…
Makabiliano makali yanaripotiwa kutokea baina ya waandamanaji na vyombo vya usalama nchini Morocco.
Ving'ora vya mashambulizi ya anga vimesikika katika maeneo yanayokaliwa kwa mabavu (Israel) kufuatia kombora la balestiki lililovurumishwa na Jeshi la Yemen ili kulipiza kisasi vita vya mauaji ya kimbari yanayoendelea…
Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu amezungumza kwenye televisheni mnamo Oktoba 4, 2025. Katika hotuba yake, alizungumzia hasa mazungumzo yajayo nchini Misri kwa ajili ya kuachiliwa kwa mateka wanaoshikiliwa Gaza.…
Sauti za milipuko na risasi zilisikika pakubwa jana huko Mogadishu mji mkuu wa Somalia baada ya wanamgambo kushambulia gereza karibu na ikulu ya rais.
Nilichukua polisi wanne, wawili wakiwa na bunduki, tukaondoka na kijana huyo kuelekea kitongoji cha Pongwe, ambacho kipo takriban kilomita kumi na tano kutoka jijini Tanga. Tulipofika Pongwe Faustin alituonyesha mtaa…