Wananchi wataka hatua za ziada kudhibiti tembo
Wananchi wa Kata ya Sakasaka, Wilaya ya Meatu mkoani Simiyu wameeleza hofu na masikitiko yao...
Wananchi wa Kata ya Sakasaka, Wilaya ya Meatu mkoani Simiyu wameeleza hofu na masikitiko yao...
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimeibua kilio cha wanachama na viongozi wao...
Rice ambaye alitolewa dakika ya 78 baada ya kuanguka na kupatiwa matibabu, alifunga bao moja...
#HABARI: Watu 4 wamefariki dunia kwa ugonjwa wa Kipindupidu katika Kaunti ya Narok Nchini Kenya, huku wengine 15 wakilazwa Hospitalini kutokana na kuumwa ugonjwa huo. Powered by #MCHEZOSUPA JINSI YA…
Mwenyekiti wa Taasisi ya Mwalimu Nyerere, Joseph Warioba amewataka Watanzania kuungana na kauli ya Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ), kupinga vikali juhudi za kulihusisha jeshi hilo na siasa. Akizungumza…
Mgombea ubunge Chaani, Ayoub Mohamed Mahmoud ameahidi kuchimba visima vinane na kuweka matanki...
Wanasayansi wametoa tahadhari kuwa matumizi ya akili unde (AI) kama mbadala wa mtaalamu wa...
#HABARI: Mwenyekiti wa Tume ya Madini, Dr. Janet Lekashingo akizungumza na baadhi ya wamiliki wa Migodi na wachimbaji wa Madini mkoani Ruvuma, amewataka kufuata kanuni za uchimbaji salama wa Madini,…
Waumini wa dini ya Kiislamu wameshauriwa kutumia sharia za dini yao mahakamani kudai au kuomba...
Jeshi la Polisi mkoani Ruvuma limesema miili ya watu watano waliouawa katika Kijiji cha Wenje,...
Utawala wa Trump umeutanga mji wa Chicago siku ya Jumapili kuwa eneo la vita, kama sababu ya kuhalalisha upelekaji wa wanajeshi huko dhidi ya matakwa ya maafisa wa ndani wa…
🔴TAARIFA YA HABARI SAA MBILI OKTOBA 05, 2025 - AHADI ZAENDELEA KUTOLEWA NA WAGOMBEA
#HABARI: Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama cha Sauti ya Umma, Bw.Majalio Kyara amesema endapo atashinda nafasi hiyo na kuingia madakani atarejesha mfumo wa matumizi ya…
Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi (CUF) Taifa, Profesa Ibrahim Lipumba amesema Tanzania...
Mgombea urais wa Zanzibar kwa tiketi ya Chama cha ACT - Wazalendo, Othman Masoud Othman...
Mgombea mwenza wa urais wa Tanzania wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Dk Emmanuel Nchimbi ametoa...
Viongozi wa dini Kisiwani Pemba wamemkumbusha mgombea urais wa Zanzibar kupitia Chama cha...
Mgombea Ubunge wa jimbo la Kibamba Angellah Kairuki ameiomba jamii ya Waislamu na wasio Waislam kuungana kwa pamoja kujenga jamii bora hususani kwenye misingi ya malezi ya watoto huku akiahidi…
Azaki za kiraia zimependekeza ili kupatikana kwa katiba mpya ndani ya mwaka mmoja baada ya...
Mgombea Udiwani wa kata ya Saranga iliyopo manispaa ya Ubungo, mhandisi John Sanga amewaahidi wapiga kura wa kata hiyo kuwa atahakikisha kero mbalimbali ambazo zinaikabili kata hiyo zinafika kwa mbunge…
Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF) limelaani vikali kauli za watu wanaohamasisha Jeshi la Wananchi wa Tanzania kujiingiza katika siasa, likisema mapinduzi si suluhisho, na likalisifu jeshi kwa uaminifu wake kwa…
Kiongozi Mkuu wa Kanisa Katoliki Duniani Papa Leo amesema ana matarajio kuwa mpango wa hivi karibuni wa kumaliza vita huko Gaza utapata matokeo yanayotarajiwa.
Rais wa Urusi Vladimir Putin amesema ikiwa Marekani itaipatia Ukraine makombora ya Tomahawk ili kufanya mashambulizi ya masafa marefu ndani ya nchi yake, hilo litapelekea kuvunjika kwa uhusiano kati ya…
Wanamgambo saba wa kundi la kigaidi la Al-Shabaab wameuawa katika shambulio la kujitoa mhanga lililofanywa Jumamosi na kundi hilo katikati mwa mji mkuu Mogadishu.
Dodoma. Mgombea urais kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi (CCM), Samia Suluhu Hassan, Jumanne...
Mwenyekiti wa Taasisi ya Mwalimu Julius Nyerere (MNF), Joseph Butiku amewaomba Watanzania...
Shughuli ya kuhesabu kura inaendelea katika vituo 50 nchini Syria kufuatia uchaguzi wa wabunge uliofanyika mapema Jumapili katika majimbo mengi ya nchi hiyo.
🔴HAPA NA PALE KUTOKA TANGA: OKTOBA 05, 2025
Siku moja baada ya Mwananchi kuripoti taharuki katika eneo la Katumba, wilayani Rungwe, mkoani...
MABOSI wa Dodoma Jiji wanatarajia kukutana muda wowote kuanzia sasa ili kujadiliana masuala mbalimbali ya timu hiyo, huku ajenda kubwa ikiwa ni ishu nzima ya mustakabali wa kocha wa kikosi…
#HABARI: Jeshi la Polisi mkoani Kagera liesema litaendelea kuwachukulia hatua kali za kisheria madereva wanaoendesha magari yanayobeba abiria na mizigo, wanaosababisha ajali za barabarani kutokana na sababu ya uzembe ambazo…
NYOTA mpya wa Singida Black Stars, Lamine Diadhiou Jarjou amesema anaona ni heshima kubwa kwake na wenzake kuwa sehemu ya mafanikio ya timu hiyo, huku akizipiga mkwara Simba, Yanga na…
Wananchi wa kijiji cha Nanyunyi Kata ya Ihanda, wilayani Mbozi mkoani Songwe, huenda wakapata...
SIMBA itarejea kambini Oktoba 5, 2025 ili kujiandaa na mechi zilizopo mbele yao Ligi Kuu Bara na ile ya kimataifa ikiwa imetinga raundi ya pili ya Ligi ya Mabingwa Afrika,…
#HABARI: Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu Tanzania "THRDC" umebainisha kuwa kwa sasa Tanzania inahitaji kujielekeza katika kuja na muafaka wa kitaifa ambao utakuwa muarobaini wa changamoto mbalimbali ambazo…
Syria ilifanya uchaguzi wa kihistoria kwa Bunge lake la Watu kwa muda ulioongezwa wa kura huku serikali mpya ya mpito ikitafuta mageuzi na mshikamano.
Siku moja baada ya Mwananchi kuripoti taharuki katika eneo la Katumba, wilayani Rungwe, mkoani...
Kiongozi wa mbio za Mwenge wa uhuru kitaifa 2025, Ismail Ali Ussi amewataka wananchi wa Wilaya...
Afrika Kusini ilizidisha nguvu katika kipindi cha pili na kulaza Argentina 29-27 uwanjani Twickenham Jumamosi na kushinda Ubingwa wa Raga kwa mara ya sita, kwa tofauti ya pointi.
Kiongozi wa Mbio za Mwenge wa Uhuru 2025, Ismail Ally Ussi, amezitaka halmashauri nchini kutenga na kupima maeneo kwa mpangilio bora ili kupunguza migogoro ya ardhi. Amesisitiza wananchi wenye viwanja…
#HABARI: Jeshi la Polisi mkoani Mwanza limeombwa kufanya doria za mara kwa mara ndani ya Ziwa Victoria, ili kudhibiti uhalifu mbalimbali wanaofanyiwa wavuvi ndani ya ziwa hilo ikiwemo kuporwa kwa…
Watu zaidi ya 40 wamefariki dunia na wengine hawajulikani walipo baada ya kutokea kwa mafuriko...
Tukio hilo limetokea mtaa wa Nzuguni B jijini Dodoma huku ikielezwa kuwa imekuwa ni tatizo la...
Mahakama Kuu Masjala Ndogo ya Dar es Salaam, imemuhukumu Cosmas Msumari adhabu ya kunyongwa...
Katika kitovu cha njia yenye msongamano mkubwa wa uhamiaji eneo la mashariki, Pembe ya Afrika na kusini mwa Afrika kuna mji mdogo wa pwani ya kaskazini mwa Djibouti unaoitwa Obock.…
BEKI wa zamani wa Simba ya Vijana U-20, Alon Okechi Nyembe anayekipiga Zanaco FC ya Zambia amesema amechelewa kupata kibali cha kazi kilichomfanya asicheze hadi sasa.
MSHAMBULIAJI wa Kitanzania, Said Khamis 'Said Jr' anayekipiga IFC Malaysia amesema Ligi Kuu ya Malaysia ni miongoni mwa ligi ngumu barani Asia.