Rais wa Somalia ataka kusimamishwa vita haraka Ukanda wa Gaza; asikitishwa na masaibu ya Wapalestina
Rais Hassan Sheikh Mohamud wa Somalia amesema kuwa nchi yake inaendelea kutiwa wasiwas sana na mateso na masaibu wanayopitia wananchi wa Palestina na kutaka kufikia mapatano ya kusimamisha vita haraka…