Rais wa Kenya atoa hotuba kali UNGA, asema mabadiliko ya Baraza la Usalama si ‘kuifanyia fadhila Afrika’
Rais wa Kenya William Ruto ametoa hotuba kali katika kikao cha 80 cha Mkutano wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa jijini New York siku ya Jumatano.