🔴HABARI ZA SAA: SAA NNE NA DAKIKA 55, AGOSTI 26, 2025
🔴HABARI ZA SAA: SAA NNE NA DAKIKA 55, AGOSTI 26, 2025
🔴HABARI ZA SAA: SAA NNE NA DAKIKA 55, AGOSTI 26, 2025
#HABARI: Kiongozi wa Chama cha Democratic Party (DP) nchini Kenya Justin Muturi, na aliyekuwa Mwanasheria Mkuu wa Serikali ya Rais William Ruto, amejitosa kwenye mjadala kuhusu ufisadi bungeni, akimtuhumu Ruto…
Chanzo cha picha, Getty Images 30 Julai 2025 Katika kile kinachoonekana kama mwendelezo wa sera za kulinda uchumi wa ndani, Serikali ya Tanzania imetangaza rasmi marufuku dhidi ya shughuli 15…
Rais wa Marekani Donald Trump amesema siku ya Jumatatu, Agosti 25, kwamba Wamarekani wengi “wangependa kuwa na dikteta,” wakati wa mkutano wa ghafla na waandishi wa habari na ambao ulirefushwa…
Iran imekanusha tuhuma zilizotolewa na Rais wa Marekani Donald Trump kuhusu mpango wa nyuklia wa amani wa taifa hili, ikisema madai hayo yametegemeai kauli zilizopitwa na wakati ambazo zilitolewa na…
#HABARI: Emmanuel Mussa (27), mkazi wa Ighombwe, Singida, amehukumiwa kifungo cha maisha gerezani kwa kosa la kumbaka mwanafunzi wa darasa la tano kutoka Shule ya Msingi Ighombwe. Tukio hilo lilitokea…
Rais wa China Xi Jinping leo Jumanne, Agosti 26, amesifu uhusiano wa China na Urusi kama “imara zaidi” na “muhimu zaidi kimkakati” kati ya mataifa makubwa leo, televisheni ya serikali…
Kipindi cha habari, mahojiano na makala kila siku saa kumi na mbili na saa moja asubuhi Afrika Mashariki Source link
🔴HABARI ZA SAA: SAA TATU NA DAKIKA 55, AGOSTI 26, 2025
Wakimbizi wa Kinyarwanda zaidi ya 500 jana Jumatatu walirejea nyumbani wakitokea nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo. Source link
Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu siku ya Jumatatu tarehe 25 Agosti, alisema kuwa yuko tayari kupunguza “taratibu” uwepo wa jeshi la Israel nchini Lebanon ikiwa Beirut itatekeleza mpango wake…
Chanzo cha picha, Getty Images Saa 2 zilizopita Chelsea imekubali kumtoa kwa mkopo mshambuliaji wa Senegal mwenye umri wa miaka 24 Nicolas Jackson kwenda Bayern Munich. (Bild) Kiungo wa England…
Harakati za muqawama za Hizbullah na Amal za Lebanon zimetoa wito kwa wafuasi wao kujitokeza kwa wingi katika mitaa ya Beirut mji mkuu wa nchi hiyo ili kupinga maamuzi ya…
Nchini Kenya, wahifadhi wa Hifadhi ya Mazingira ya Tsavo, mashariki mwa nchi, wana wasiwasi. Tsavo, inayoundwa na hifadhi 35, ni mojawapo ya hifadhi kubwa zaidi za asili barani Afrika. Kusitisha…
Nchini Mali, Mei mwaka jana, kwa agizo la rais, utawala wa kijeshi ulifuta baadhi ya vyama 297 vya kisiasa. Vyama vya siasa hasa vya upinzani vilianzisha mashauri ya kisheria kupitia…
Chanzo cha picha, Ritesh Saa 1 iliyopita Katika jiji la Ambikapur, jimbo la Chhattisgarh, India, watu wenye njaa hupata mlo kamili bila kulipa pesa bali kwa kubadilisha taka za plastiki…
🔴HABARI ZA SAA: SAA MBILI NA DAKIKA 55, AGOSTI 26, 2025
Raia wa Togo bado wanasubiri kuundwa kwa serikali mpya, kufuatia kujiuzulu kwa timu ya zamani Mei 2. Kujiuzulu kulikuja usiku wa kuamkia kuapishwa kwa Faure Gnassingbé kuwa Waziri Mkuu ikiwa…
Taasisi za kimataifa ukiwemo Umoja wa Mataifa, Jumuiya ya Ushirikiano wa Kiislamu OIC, Umoja wa Ulaya, Shirika la Wanahabari Wasio na Mipaka (RSF) na hata nchi kadhaa za Magharibi waitifaki…
Kilmar Abrego Garcia, raia wa El Salvador, kwa mara nyingine yuko hatarini kufukuzwa kutoka Marekani, safari hii kutumwa nchini Uganda. Imechapishwa: 26/08/2025 – 07:31 Dakika 2 Wakati wa kusoma Matangazo…
#HABARI: Wananchi katika Kijiji cha Nyang’oma Wilaya ya Musoma mkoani Mara, wamekumbwa na taharuki baada ya uwepo wa wimbi la Nyani na Fisi ambao wanahusishwa na imani za kishirikiana kuwa…
🔴KUMEKUCHA MICHEZO: SAKATA LA MZIZE YANGA BADO LA MOTO, MSIMAMIZI WAKE AFUNGUKA…AGOSTI 26, 2025
Uhusiano kati ya Ankara na mbabe wa kivita wa mashariki mwa Libya, yaliyoanzishwa mwezi Aprili mwaka huu, yameendelea kushuhudiwa siku ya Jumatatu, Agosti 25, kwa ziara ya mkuu wa idara…
Kama ilivyoombwa na ofisi ya rais wa Kongo mwezi Juni, Makanisa ya Kikatoliki na Kiprotestanti yameungana na madhehebu mengine ya kidini ili kupendekeza mtazamo wa pamoja wa kufanyika kwa mazungumzo…
Kipindi cha habari, mahojiano na makala kila siku saa kumi na mbili na saa moja asubuhi Afrika Mashariki Source link
Rais Masoud Pezeshkian jana Jumatatu alizungumza kwa simu na Rais Vladimir Putin wa Russiai na kumweleza kuwa Tehran haijawahi kutaka kumiliki wala haitatafuta silaha za nyuklia, akisisitiza msimamo wa muda…
#HABARI: Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Udhibiti wa Nafaka na Mazao Mchanganyiko (COPRA), Bi Irene Mlola, amewataka wakulima nchini kuacha mara moja tabia ya kuuza mazao yao nje ya mfumo…
🔴TAARIFA YA HABARI YA ASUBUHI – AGOSTI 26, 2025
Chanzo cha picha, Reuters Vita nchini Ukraine vimegeuka kuwa “mzozo mkubwa wa kibinadamu,” Rais wa Marekani Donald Trump alisema wakati wa mkutano na waandishi wa habari. Baadaye kidogo, akijibu swali…
Mada ya Korea Kaskazini ilikuwa miongoni mwa mambo yaliyojadiliwa huku rais huyo wa Marekani akisema kuwa angependa kukutana na Kim Jong Un mwaka huu. Trump pia alisema kuwa ana mahusiano…
🔴KUMEKUCHA:HUDUMA ZA UGOMBOAJI MIZIGO….AGOSTI 26, 2025
Alisema anasikitika kwa kusaidia kujaza nchini Marekani dawa za kulevya aina ya kokeini, heroini na dawa zingine haramu na kwa kuchochea ghasia mbaya nchini Mexico. Aliomba radhi na kusema kuwa…
Iran na nchi tatu zenye nguvu za Ulaya – Ujerumani, Ufaransa na Uingereza – zinatazamiwa kuanza tena mazungumzo ya nyuklia huko Geneva, Uswisi siku ya Jumanne, yakiangazia maswala ya nyuklia…
Nchi za Burkina Faso na Mali, zinazoongozwa na wanajeshi, hazikutuma wawakilishi kwenye mkutano wa wakuu wa majeshi barani Afrika unaofanyika kwa siku nchini Nigeria. Imechapishwa: 26/08/2025 – 05:51Imehaririwa: 26/08/2025 –…
#SWALILAKIPIMAJOTO:”Maagizo ya serikali kulipa fidia wananchi wanaopisha miradi ya kimkakati. Je, Yanasimamiwa utekelezaji wake kwa wakati kuepusha malalamiko?”.
Umoja wa Mataifa unasema, watu zaidi ya Laki Tano, wamerejea katika jiji kuu la Sudan Khartoum mwezi Julai, miezi minne baada ya jeshi kulidhibiti.
Aliongeza kuwa Wizara ya Fedha imeidhinisha bajeti ya dharura ya dola milioni 18.7 ili kuushughulikia mzozo huo. Rais Duma Boko alisema jeshi litasimamia usambazaji wa dawa za dharura, huku shehena…
🔴MAGAZETI: MIKOA 13 YATOSA WANAWAKE CCM…AGOSTI 26, 2025
Pamoja na Niger — ambayo pia iko chini ya utawala wa kijeshi — Mali na Burkina Faso zilijiondoa kwenye jumuiya ya kikanda ya ECOWAS Januari, baada ya kuunda Muungano wao…
Chanzo cha picha, Getty Images Maelezo kuhusu taarifa Author, Phil McNulty Nafasi, BBC Dakika 32 zilizopita Vilabu vyote vya vya Ligi Kuu ya England vimetumia zaidi ya pauni bilioni 2…
Maafisa wa afya wa Gaza wamesema shambulizi hilo kwenye hospitali ya Nasser huko Khan Younis liliwauwa watu 20 na kuwajeruhi wengine zaidi ya 80. Ni miongoni mwa mashambulizi mabaya zaidi…
Raia wasiopungua 13 wa Sudan wameripotiwa kuuawa na wapiganaji wa Kikosi cha Msaada wa Haraka (RSF) huko Darfur Kaskazini. Source link
Chanzo cha picha, ACT Maelezo ya picha, Mpina 7 Agosti 2025 ACT Wazalendo imemuidhinisha rasmi bwana Luhaga Mpina kuwa mmoja wa wagombea wa Urais atakayechuana na Rais Samia Suluhu Hassan…
Kwa akali wanahabari wanne wa Kipalestina, akiwemo mpiga picha wa televisheni ya Al-Jazeera, ni miongoni mwa watu 15 waliouawa shahidi katika shambulio jipya la Israel dhidi ya hospitali moja iliyoko…
DIRA.BZ26.08.202526 Agosti 2025 Israel yaishambulia hospitali Gaza na kuuwa watu 20, wakiwemo waandishi habari na waokoaji // Rais Trump wa Marekani akutana na rais mpya wa Korea Kusini katika Ikulu…
DIRA.BZ26.08.202526 Agosti 2025 Miongoni mwa taarifa zilizoandaliwa ni: Israel iliishambulia kwa makombora mojawapo ya hospitali kuu katika Ukanda wa Gaza / Kenya inasherehekea baada ya kufanikiwa kutokomeza ujangili unaolenga faru…
SK2 / S02S26.08.202526 Agosti 2025 Miongoni mwa taarifa zilizoandaliwa ni: Viongozi wa kidini nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo wamewasilisha mpango wa kuanzisha mchakato shirikishi na wa kitaifa wa amani…
Chanzo cha picha, Antonov 124 Maelezo kuhusu taarifa Author, Sharad Ranabhat Nafasi, Aviationa2z 8 Agosti 2025 Ndege hizi zimeundwa sio tu kusafirisha mizigo mizito lakini pia kupaa kwa kasi na…
Harakati za Muqawama wa Kiislamu za Palestina za Hamas na Jihadul Islami zimeshutumu vikali mashambulizi mabaya ya Israel dhidi ya mji mkuu wa Yemen na miundombinu ya kiraia, na kuyaelezea…
Chanzo cha picha, Getty Images 10 Agosti 2025 Kuanzia poda ya collagen hadi pipi za kinga, virutubisho viko kila mahali: katika kurasa zetu za Instagram, kwenye rafu za maduka makubwa,…