Mwendesha mashtaka mkuu wa ICC asimamishwa kazi kutokana na tuhuma za ngono
Mwendesha mashtaka mkuu wa Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu, Karim Khan, amesimamishwa kazi kufuatia kesi za kinidhamu zilizoanzishwa baada ya madai ya unyanyasaji wa kingono kuwasilishwa dhidi yake. Imechapishwa: 09/06/2026…