Operesheni ya polisi yanasa watuhumiwa 76
Jeshi la Polisi Mkoa wa Mwanza limewakamata watu 76 wanaotuhumiwa kuvamia, kuvunja maduka...
Jeshi la Polisi Mkoa wa Mwanza limewakamata watu 76 wanaotuhumiwa kuvamia, kuvunja maduka...
Taasisi ya Udhibiti wa Ubora wa Mbegu Tanzania (TOSCI) imewapa mbinu wakulima nchini namna bora ya kuzitambua mbegu bora ili kupata mafanikio katika kilimo. TOSCI imetumia maadhimisho ya 'Wiki ya…
Mgombea urais wa Chama cha Ukombozi na Umma (Chaumma), Salum Mwalimu ameahidi akipewa ridhaa na...
Makamu wa Rais wa Azam FC, Abdulkarim Mohamedamin Nurdin 'Popat' amethibitisha kwamba klabu yao imeanza kupokea mgao wa gharama za maandalizi kwenye mechi za hatua ya awali ya mashindano ya…
Azam FC imekuwa klabu ya kwanza Tanzania kuitikia wito wa kujiunga na Chama cha Klabu za Soka...
Wajasiriamali kutoka maeneo mbalimbali nchini wamekutana jijini Dar es Salaam kwa lengo la kumuenzi Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Kambarage Nyerere na kuuza bidhaa za utamaduni kwa watalii mbalimbali waliojitokeza…
Changamoto ya upatikanaji wa mafao ya wastaafu kwa wakati, imeibua ajenda kwa mgombea urais wa...
Dk Emmanuel Nchimbi amesema Chama cha Mapinduzi (CCM), kitaendelea kupambana dhidi ya maadui...
Waandishi wa habari nchini wametakiwa kuibua na kuandika habari za vitendo vya ukatili wa...
Agizo lililowekwa kwenye mtandao wa kijamii wa Facebook lilisema Rais Andry Rajoelina alishauriana na viongozi wa bunge na Seneti kuhusu uamuzi huo.
Shilingi ya Tanzania imeibuka kuwa moja ya sarafu imara zaidi katika ukanda wa Afrika...
Baada ya mkutano huo wa kampeni, Rais Samia alizuru kaburi la Magufuli ambako aliwasha mshumaa, alishiriki sala fupi ya kumuombea na kuweka shada la maua.
Jeshi la Israel limewauwa shahidi takriban Wapalestina sita huko Ukanda wa Gaza ndani ya saa 24, licha ya Tel Aviv hivi karibuni kufikia makubalianokuhusu utekelezaji wa awamu ya kwanza ya…
Unataka kufahamu nini kutoka kwa Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Bara, Stephen Wasira Tutakuwa naye Oktoba 15, 2025 katika chaneli ya UTV kuanzia saa 2:30 asubuhi katika mahojiano…
Takriban Wapalestina wawili wamejeruhiwa wakati wanajeshi wa Israel walipovamia na kuwafyatulia risasi wakazi wa eneo la Ukingo wa Magharibi. Wanajeshi wa Israel usiku wa kuamkia leo walivamia pakubwa vijii na…
Serikali ya Yemen imethibitisha uungaji mkono wake kwa watu wa Gaza kufuatia kutekelezwa makubaliano ya kusitisha vita kati ya Hamas na Israel.
Umoja wa Mataifa umesema kuwa makubaliano ya kusitisha mapigano kati ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo na Rwanda "hayaheshimiwi."
Issa Tchiroma Bakary kiongozi wa upinzani nchini Cameroon ametangaza kwa upande mmoja kuwa mshindi wa uchaguzi wa rais wa juzi Jumapili akimbwaga mshindani wake mkuu Rais Paul Biya ambaye amekuwa…
Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Dayosisi ya Morogoro, limewahimiza vijana kushiriki kikamilifu katika uchaguzi mkuu kwa kuchagua viongozi bora na kuepuka vitendo vyote vinavyoweza kuharibu amani…likiwataka kuwa mabalozi…
Katika maadhimisho ya kumbukizi ya miaka 26 tangu kifo cha Baba wa Taifa, Mkurugenzi Mkuu wa kwanza wa Shirika la Reli Tanzania (TRC), Athumani Janguo amesimulia jinsi Mwalimu Julius Kambarage…
Umoja wa Mataifa leo umeonya kwamba Gaza itahitaji karibu dola bilioni 70 kwa ajili ya ujenzi upya baada ya miaka miwili ya mzozo, huku dola bilioni 20 zikitakiwa katika miaka…
Umoja wa Mataifa unaimarisha hatua zake za dharura huko Gaza kwa kutoa dola milioni 11 kutoka Mfuko wake wa Dharura CER) ili kukidhi mahitaji ya haraka kabla ya msimu wa…
Shirika la Afya Duniani (WHO) leo limetoa onyo kwamba magonjwa ya ubongo husababisha vifo zaidi ya milioni 11 kila mwaka duniani, yakigusa zaidi ya asilimia 40 ya idadi ya watu…
Wamejikuta katikati ya mzozo na athari za tabianchi, jamii za waliopoteza makazi yao Sudan Kusini zinajikuta zikikabiliana na vurugu, mafuriko na kukosa misaada ya kutosha
RAIS wa Yanga, Injinia Hersi Said, amesema wakati anaanza kuiongoza klabu hiyo, wengi hawakumuamini kutokana na umri wake mdogo.
#HABARI: Aliyekuwa Mbunge wa Viti Maalumu mkoa wa Arusha Cecilia Paresso, amewataka wananchi wa Mkoa wa Kigoma kuwachagua wagombea wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), kwasababu imewaleta wagombea wenye sifa za…
AD Benki Kuu ya Tanzania (BOT) imezindua Kikokotoo cha mikopo cha mtandaoni. Kupitia Kikokotoo hiki, utakuwa na uwezo wa kukadiria kiwango cha marejesho ya kila mwezi na kuelewa viwango vya…
Ujenzi wa Daraja la Pangani lenye urefu wa mita 525 pamoja na barabara unganishi na mchepuko zenye jumla ya kilomita 25 umefikia asilimia 74.3 hadi kufikia Septemba 30, 2025. Kukamilika…
Idara ya Uhamiaji nchini imewaondoa raia wawili wa kigeni waliobainika kukiuka masharti ya viza...
Deni la taifa la Marekani limevuka viwango vya kihistoria - na baadhi ya wachambuzi wanaonya nchi hiyo hivi karibuni inaweza kutegemea akiba yake ya dhahabu kwa ukombozi.
Shabiki mmoja wa soka kutoka Ghana, anayejulikana kwa jina la Obour, amezua hisia mitandaoni...
Karibu watu 14 wamefariki dunia kufuatia kuporomoka kwa mgodi huko El Callao, Venezuela baada ya mvua kubwa kunyesha katika eneo la kusini mashariki.
Marais wa zamani wa Marekani Joe Biden na Bill Clinton wamechukua hatua nadra ya kumsifu Rais Donald Trump kwa kusaidia katika usitishwaji wa vita vya Gaza.
Iran imesema Jumanne kuwa wito wa rais wa Marekani Donald Trump wa amani na Iran haulingani na vitendo vya Washington, ikiashiria yale mashambulizi ya Marekani katika vinu vyake vya nyuklia…
Kiongozi wa upinzani nchini Cameroon Issa Tchiroma Bakary amedai kushinda uchaguzi leo dhidi ya Rais Paul Biya aliye madarakani kwa miaka 43 sasa.
Rais wa Madagascar Andry Rajoelina amelivunja bunge la nchi hiyo.
Nahodha wa Arsenal, Martin Ødegaard, ataendelea kuwa nje ya uwanja hadi mwezi Novemba kutokana...
Idadi ya timu tisa zitakazoiwakilisha Afrika katika Fainali za Kombe la Dunia 2026 itakamilika...
Mashindano ya mashua yaliyofanyika yaliisha kwa msiba Ijumaa iliyopita jioni wakati mashua iliyokuwa imebeba washiriki ilipopinduka.
Makamu wa Rais, Dk Philip Mpango, ameongoza wananchi na viongozi mbalimbali katika ibada...
Marcus Rashford ametaja mazingira yasiyo rafiki ya Manchester United kuwa moja ya sababu...
Mnamo Septemba, Ethiopia na Urusi zilitia saini mpango wa utekelezaji wa kuendeleza mradi wa nishati ya nyuklia nchini Ethiopia.
Ekari 330 za mahindi zitavunwa kwa muda wa siku tano zijazo, maji yakiwa tayari yanapatikana kutoka kwenye mabwawa mawili madogo, mshirika binafsi aitwaye Selu Limited hivi karibuni ataweza kumwagilia ekari…
Sio siri Phil Foden alikuwa kwenye kiwango bora kabisa Manchester City ilipofanya kweli kwenye...
Aliyekuwa Mbunge wa Viti Maalum mkoa wa Arusha, Cecilia Paresso, amewataka wananchi wa mkoa wa Kigoma kuwachagua wagombea wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kwa kuwa ni watu wenye sifa na…
Pesa kubwa inapotumika, matarajio yake ni makubwa pia. Lakini, kwenye Ligi Kuu England mambo...
#HABARI: Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Philip Isdor Mpango na Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, wameshiriki Ibada ya kumuombea Baba wa Taifa Hayati Mwalimu. Julius Kambarage…
Taasisi za kidini na kielimu, kwa kushirikiana na Kituo cha Utamaduni cha Ubalozi wa Iran, zimefanya mdahalo maalumu jijini Dar es Salaam ukilenga kudumisha amani, mshikamano na haki kuelekea Uchaguzi…
Chama cha ACT – Wazalendo kupitia kwa mgombea Urais wa chama hicho visiwani Zanzibar, Othman Masoud kimeahidi kuongeza kima cha chini cha mishahara kufikia milioni moja kwa wafanyakazi wa umma…