Kumbe maisha ya Zaiylissa yamekuwa hivi baada ya kuachana na Manara
Msanii wa Bongo Movies, Zaiylissa amezungumzia maisha yake baada ya kuachana na aliyekuwa mume...
Msanii wa Bongo Movies, Zaiylissa amezungumzia maisha yake baada ya kuachana na aliyekuwa mume...
Msemaji wa Jeshi la Polisi Tanzania, DCP David Misime amewahakikishia wananchi kuwa jeshi hilo limejipanga kikamilifu kuhakikisha amani na usalama wakati wa uchaguzi mkuu. Amesema wananchi wanapaswa kwenda kupiga kura…
Mgombea Urais wa chama cha ADA-TADEA Georges Bussungu ameahidi kuleta mabadiliko katika sekta ya uchumi na teknolojia endapo atashinda kiti cha Urais. Amesongeza kuwa atafanikiwa katika hilo kwa kuhakikisha anaondoa…
Rapa maarufu, Offset amevunja ukimya kuhusu uvumi unaomhusisha na msanii Saweetie, akikanusha...
Mgombea wa Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA) Salum Mwalimu ameahidi kuwa na Bunge litakalokuwa na nguvu ya kuiwajibisha serikali atakayoiunda endapo atafanikiwa kushinda Urais mwaka huu. Mwalimu ametoa ahadi…
#HABARI: Balozi wa Uganda nchini Tanzania Mh. Anne Katusiime Kageye, katika ofisi ndogo ya Arusha, ameongoza wananchi wa nchi hiyo wanaoishi nchini Tanzania, kuadhimisha miaka 63 ya uhuru wa nchi…
Mchakato usikilizwaji kesi ya madai inayolikabili Shirikisho la Mpira wa Miguu Nchini (TFF)...
Mwanadada Nana Shanteel aliyezaa na msanii wa Bongofleva Harmonize, amesema hawezi kumchukia...
Msemaji wa Jeshi la Polisi Tanzania, DCP David Misime amesema hali ya ulinzi na usalama nchini kuelekea uchaguzi mkuu utakaofanyika Oktoba 29, 2025 imeendelea kuwa shwari, huku likiendelea kushirikiana na…
Meneja wa Diamond Platnumz, Mkubwa Fella, amewataka mashabiki kuacha kama yalivyo masuala ya...
Ni tukio linaloibua maswali nchini Kenya, baada ya mshukiwa aliyekuwa amejihami kwa upinde na...
Idara ya Uhamiaji nchini imewaondosha raia wawili wa kigeni waliobainika kukiuka masharti ya...
Wabunge wa Kenya wamepitisha mswada wa kudhibiti mali za kidijitali kama vile sarafu za siri, mbunge mkuu alisema Jumatatu.
Mchakato usikilizwaji wa kesi ya madai inayolikabili Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), iliyofunguliwa na Kocha Liston Katabazi akihoji uhalali wa kanuni za maadili zilizotumika kumuadhibu kifungo cha maisha…
Kiongozi wa upinzani Herminie, ambaye alishinda duru ya pili ya uchaguzi wa Jumamosi, alifanya mkutano na rais anayemaliza muda wake siku ya Jumatatu.
Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran imejibu matamshi ya kibazazi ya Trump dhidi ya Tehran wakati alipolihutubia Bunge la Israel Knesset na imesema kuwa, Marekani ndiye nchi mzalishaji mkubwa…
Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Jihadul Islami ya Palestina imepongeza kuachiliwa huru mateka wa Palestina katika jela za kuogofya za kutokana na ushujaa wa wamamapambano wa kambi ya Muqawama…
Viongozi wa kimataifa wameitikia kwa furaha kusainiwa kwa mkutano wa Sharm El-Sheikh.
Utawala wa Kizayuni mara kwa mara umekuwa ukipiga ngoma ya kuwapokonya silaha wananchi wa Ghaza na hilo imelifanya zaidi wakati wa vita vyake vya miaka miwili dhidi ya Ghaza, lakini…
Rais wa zamani wa Russia, Dmitry Medvedev, amesisitizia haja ya kuundwa taifa huru la Palestina na kutambuliwa uwepo wa nchi huru ya Palestina duniani akisema kuwa, vita haviwezi kumalizika ila…
Mkutano wa Tatu na G20 wa mwisho wa Kikosi Kazi cha Mazingira na Ulinzi Endelevu wa Hali ya Hewa (ECSWG) ulifunguliwa rasmi jana Jumatatu mjini Cape Town, Afrika Kusini.
Makubaliano ya amani ya Trump, licha ya madai ya Netanyahu kuwa ni "ushindi," yamewakasirisha Wazayuni wengi.
#HABARI: Mgombea ubunge Jimbo la Kalambo mkoani Rukwa ndugu Edfonce Kanoni, amesema endapo akichaguliwa kuwa mbunge atahakikisha anaishauri Serikali kupunguza bei za pembejeo za kilimo ili kuwawezesha wakulima kulima kwa…
Takriban watu 300,000 wa Sudan Kusini wameikimbia nchi mwaka 2025, hasa kutokana na kuongezeka kwa migogoro, Tume ya Umoja wa Mataifa ya Haki za Kibinadamu ilisema Jumatatu.
Watu wanaoshukiwa kuwa waasi wa ADF wamewauwa watu 19 katika shambulio la usiku moja mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, na kuzidisha ukosefu wa usalama katika eneo hilo lenye…
Rais wa Madagascar Andry Rajoelina amerudisha nyuma hotuba yake ya kitaifa iliyokuwa ikisubiriwa kwa muda mrefu, na hivyo kuzidisha sintofahamu juu ya mahali alipo baada ya siku kadhaa za maandamano…
Mapitio ya #MAGAZETI leo Oktoba 14, 2025 kwenye #MorningTrumpet #utv108 #AzamTVUpdates
Wapiganaji wa ADF wanaohusishwa na Dola la Kiislamu wameua watu 19 mashariki mwa DRC, wakachoma nyumba na maduka, huku mamia ya wakazi wakikimbia makazi yao katika eneo la Lubero.
Takriban watu 300,000 wameikimbia Sudan Kusini tangu mwanzoni mwa mwaka 2025, huku mzozo kati ya viongozi wanaohasimiana ukitishia kuzua vita vya wenyewe kwa wenyewe, Umoja wa Mataifa unaonya. Imechapishwa: 14/10/2025…
Wakati ikitimia miaka 26 tangu Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Nyerere afariki dunia, moja ya...
Oktoba 29, 2025, Tanzania itafanya uchaguzi mkuu kwa mara ya sita tangu Mwalimu Nyerere...
Baada ya siku nne chini ya ulinzi wa polisi, hatimaye kaka wa rais wa zamani wa Senegal, Macky Sall, na mkewe waachiliwa. Aliou Sall na mkewe ambao wamekuwa wakishukiwa kuwa…
Kundi lenye mfungamano na Islamic State, ADF, inashtumiwa kutekeleza shambulio lililogharimlu maisha ya wayu wasiopunguwa 19 katika kijiji cha Mukondo, Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia. Mauaji hayo yanayobainisha kutokuwa na…
🔴TAARIFA YA HABARI YA ASUBUHI: ...OKTOBA 14 2025
Katika radiamali kwa makubaliano ya kuhitimisha vita huko Gaza, watumiaji wa mtandao wa kijamii wa "X" wamesema utawala wa Kizayuni umeshindwa kufikia malengo yake dhidi ya muqawama wa Kiislamu wa…
Donald Trump na viongozi wa Mashariki ya Kati wametia saini tamko la Gaza nchini Misri, hatua iliyopelekea kubadilishana kwa mateka na wafungwa kati ya Israel na Hamas, na kuzua matumaini…
Alisisitiza kuwa elimu inapaswa kumwezesha mtu kufikiri, kuwa huru katika uamuzi, na kushiriki...
Wagombea wanaotoa ahadi ambazo hazina uhalisia katika utekelezaji, Je, wanaelewa athari zake?
Pamoja na uwepo wa methali hizi, na mifano mingine katika maisha inayotuonyesha kwamba hatujui...
Wakati kundi jipya la wahamiaji waliohamishwa kutoka Marekani wakiwasili mjini Accra siku ya Jumatatu, Oktoba 13, ofisi ya mawakili imewasilisha malalamiko katika mahakama ya juu zaidi ya Ghana ikitaka kusimamishwa…
China imesema iko tayari “kupambanaa hadi mwisho” katika vita vya kibiashara na Marekani, baada ya Rais Donald Trump kutangaza ushuru wa asilimia 100 kwa bidhaa zote za China, hatua iliyotikisa…
Mamia ya mateka wa Kipalestina wameachiliwa huru kutoka jela za Israel siku ya Jumatatu chini ya awamu ya kwanza ya makubaliano ya kusitisha mapigano Gaza. Katika uamuzi wa kushangaza jeshi…
Kwa mujibu wa takwimu za Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA), Watanzania wengi sasa...
Rais wa Madagascar Andry Rajoelina amehutubia taifa jioni ya Jumatatu, Oktoba 13, katika matangazo ya video kwenye mitandao ya kijamii. Mkuu wa nchi, anayepingwa sana na wakazi wake na sehemu…
Rais Donald Trump amethibitisha kuwa atamkaribisha Volodymyr Zelenskiy White House Ijumaa hii kujadili msaada wa kijeshi na makombora ya Tomahawk, huku Urusi ikionya kuwa hatua hiyo ni uchokozi mkubwa dhidi…
Baadhi ya vyombo vya habari vimeripoti kuwa Rais Andry Rajoelina wa Madagascar ameikimbia nchi hiyo na kuelekea Ufaransa.
Mwanasheria mkuu wa New York Letitia James, aliyeshtakiwa na utawala wa Trump, ameapa kutonyamaza huku akimuunga mkono mgombea meya Zohran Mamdani, akisema haogopi mtu yeyote wala vitisho vya kisiasa.
Rais wa Misri ameuambia mkutano wa kilele wa viongozi wa dunia siku ya Jumatatu kwamba pendekezo la Rais wa Marekani Donald Trump la Mashariki ya Kati ni “nafasi ya mwisho”…
🔴MAGAZETI: DKT SAMIA AWAPA FARAJA WENYE MAHITAJI MAALUMU.. 14 OKTOBA 2025
Venezuela imetangaza kufunga balozi zake nchini Norway na Australia, na kufungua mpya katika mataifa ya Burkina Faso na Zimbabwe, ikisema ni sehemu ya “mabadiliko ya kimkakati” ya huduma za kidiplomasia.