Ukraine, Marekani kuujadili mpango wa amani wa Trump Uswisi
Ukraine na Marekani zinatarajiwa kuanza mazungumzo Jumapili yanayolenga kupata njia za kuvimaliza vita. Hayo yamesemwa na Waziri wa zamani wa Ulinzi wa Ukraine Rustem Umerov mapema Jumamosi.