Samia: Walioteuliwa wachape kazi kwa kuwatumikia wananchi
Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan amesema viongozi aliowateuwa katika baraza lake jipya la mawaziri wanatakiwa kwenda kuchapa kazi kwa kuwatumikia wananchi huku akigusia changamoto ya rasilimali fedha katika serikali.