UN: Makubaliano ya amani ya Kongo na Rwanda ‘hayaheshimiwi’
Umoja wa Mataifa umesema kuwa makubaliano ya kusitisha mapigano kati ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo na Rwanda "hayaheshimiwi."
Umoja wa Mataifa umesema kuwa makubaliano ya kusitisha mapigano kati ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo na Rwanda "hayaheshimiwi."
Issa Tchiroma Bakary kiongozi wa upinzani nchini Cameroon ametangaza kwa upande mmoja kuwa mshindi wa uchaguzi wa rais wa juzi Jumapili akimbwaga mshindani wake mkuu Rais Paul Biya ambaye amekuwa…
Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran imejibu matamshi ya kibazazi ya Trump dhidi ya Tehran wakati alipolihutubia Bunge la Israel Knesset na imesema kuwa, Marekani ndiye nchi mzalishaji mkubwa…
Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Jihadul Islami ya Palestina imepongeza kuachiliwa huru mateka wa Palestina katika jela za kuogofya za kutokana na ushujaa wa wamamapambano wa kambi ya Muqawama…
Utawala wa Kizayuni mara kwa mara umekuwa ukipiga ngoma ya kuwapokonya silaha wananchi wa Ghaza na hilo imelifanya zaidi wakati wa vita vyake vya miaka miwili dhidi ya Ghaza, lakini…
Rais wa zamani wa Russia, Dmitry Medvedev, amesisitizia haja ya kuundwa taifa huru la Palestina na kutambuliwa uwepo wa nchi huru ya Palestina duniani akisema kuwa, vita haviwezi kumalizika ila…
Mkutano wa Tatu na G20 wa mwisho wa Kikosi Kazi cha Mazingira na Ulinzi Endelevu wa Hali ya Hewa (ECSWG) ulifunguliwa rasmi jana Jumatatu mjini Cape Town, Afrika Kusini.
Makubaliano ya amani ya Trump, licha ya madai ya Netanyahu kuwa ni "ushindi," yamewakasirisha Wazayuni wengi.
Katika radiamali kwa makubaliano ya kuhitimisha vita huko Gaza, watumiaji wa mtandao wa kijamii wa "X" wamesema utawala wa Kizayuni umeshindwa kufikia malengo yake dhidi ya muqawama wa Kiislamu wa…
Mamia ya mateka wa Kipalestina wameachiliwa huru kutoka jela za Israel siku ya Jumatatu chini ya awamu ya kwanza ya makubaliano ya kusitisha mapigano Gaza. Katika uamuzi wa kushangaza jeshi…
Baadhi ya vyombo vya habari vimeripoti kuwa Rais Andry Rajoelina wa Madagascar ameikimbia nchi hiyo na kuelekea Ufaransa.
Hisa ya sarafu ya Yuan ya China katika malipo ya biashara na upokeaji imefikia takriban 53%, na kuipita hisa ya dola ya 47%. Mabadiliko haya ya kihistoria yanakuja katika hali…
Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina Hamas imesema kuwa bado ina msimamo wake ule ule wa kuhakikisha mateka wote wa Palestina walioko kwenye makucha ya utawala wa Kizayuni wanaachiliwa…
Tovuti ya Drop Site News, chombo cha habari cha uchunguzi kilichoko Washington kimefichua kuwa, jeshi la Israel lilichoma kinyama nyumba na vyakula kabla ya kukimbia Ukanda wa Ghaza na baadaye…
Jeshi la Sudan (SAF) limetoa taarifa na kudai kuwa, zaidi ya wapiganaji 100 wa Vikosi vya Msaada wa Haraka (RSF) wameuawa katika mapigano ya El Fasher, makao makuu ya Jimbo…
Waziri wa habari wa Pakistan, amezungumzia mzozo wa mpaka wa nchi yake na Afghanistan, akidai kuwa operesheni hiyo ilifanywa kwa uratibu na India na kwamba shambulio hilo lilikuwa sehemu ya…
Leo ni Jumanne tarehe 21 Mfunguo Saba Rabiul-Thani 1447 Hijria Qamaria, sawa na tarehe 22 Mehr mwaka 1404 Hijria Shamsia, inayosadifiana na tarehe 14 Oktoba 2025 Miladia.
Makundi ya Muqawama wa Palestina yanasisitiza kutekelezwa matakwa yao halali na ya wananchi wa Palestina katika makubaliano ya kusitisha mapigano.
Iran imesisitiza uungaji mkono wake usioyumba kwa juhudi zozote zinazolenga kukomesha mauaji na mauaji ya halaiki ya Israel huko Gaza, ikionya kuhusu historia ya utawala unaoikalia kwa mabavu Quds ya…
Ufuatao ni mkusanyiko wa matukio yaliyotifua mavumbi viwanjani ndani ya siku zilizopita duniani, kuanzia hapa Iran hadi barani Afrika.
Serikali ya Mali imeweka masharti ya bondi ya viza kwa raia wa Marekani, ili kulipiza kisasi cha uamuzi wa Washington wa kuwawekea vikwazo vya usafiri raia wa nchi hiyo ya…
Mwenyekiti wa Kamisheni ya Umoja wa Afrika (AUC) Mahmoud Ali Youssouf amempongeza Patrick Herminie kwa kuchaguliwa kuwa rais mpya wa Ushelisheli.
Mjumbe wa Ofisi ya Kisiasa ya Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina Hamas kuushutumu utawala ghasibu wa Israel kwa 'kutia mkono' orodha ya mateka wa Kipalestina, na kukwepa kutekelezwa…
Watu wasiopungua 42 wamepoteza maisha baada ya basi walilokuwa wakisafiria kubingiria katika jimbo la Limpopo, kaskazini mwa Afrika Kusini.
Shirika la Kimataifa la Msalaba Mwekundu (ICRC) limetangaza kukabidhiwa mateka saba wa kwanza wa Israel katika Ukanda wa Gaza.
Imeelezwa kuwa, mazao ya kilimo ya Iran yanasafirishwa kwenda nchi 80 duniani. Kwa kurekodi ukuaji mkubwa wa uzalishaji wa kilimo, Iran imejitambulisha kama mmoja wa wahusika wakuu katika soko la…
Mfuko wa Kuhudumia Watoto Umoja wa Mataifa wa (UNICEF) umetangaza kuwa, watoto 56,000 katika Ukanda wa Gaza wamebaki mayatima baada ya kupoteza mzazi mmoja au wote wawili katika kipindi cha…
Wanachama wa Harakati ya Kiislamu nchini Nigeria katika Jimbo la Bauchi wamesherehekea makubaliano ya kusitisha vita Gaza, ambayo yanaruhusu maelfu ya watu kurejea kwenye nyumba zao zilizobomolewa katika ukanda wa…
Mabinti barani Afrika wametoa mwito wa kuheshimiwa na kupatiwa kipaumbele haki zao za kimsingi. Wito huo umetolewa katika kongamano la kieneo la mabinti magharibi mwa Afrika. Imeelezwa kuwa, haki za…
Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amekataa mwaliko uliotolewa kwa Tehran kwa ajili ya kushiriki katika Mkutano kuhusu Gaza uliopangwa kufanyika huko Sharm el Sheikh, Misri akisema kuwa hawezi…
Mwenyekiti wa Kamisheni ya Umoja wa Afrika (AUC) Mahmoud Ali Youssouf jana Jumapili alizitaka pande zinazozozana nchini Madagascar kujizuia na kuvulimiana ili kufungua mlango wa mazungumzo wa kutatuliwa kisiasa mvutano…
Serikali ya Sudan imetangaza kwamba shambulizi la droni na ndege zisizo na rubani za Vikosi vya Msaada wa Haraka RSF limeua raia 57 katika makazi yao ya muda ya mji…
Kiongozi mmoja wa ngazi za juu wa harakati ya Ansarullah ya Yemen ameupa utawala wa Kizayuini muda maalumu wa kuhakikisha unaheshimu na kutekeleza makubaliano ya kusimamisha vita vinginevyo Yemen itaanzisha…
Waziri wa Vita wa utawala wa Kizayuni wa Israel ametangaza kuwa utawala huo dhalimu una mipango ya kuharibu mahandaki na njia za chini ya ardhi za Harakati ya Mapambano ya…
Umoja wa Ulaya umeeleza kuwa usitishaji vita huko Gaza ni fursa ya kweli ya kuhitimisha vita vya uharibifu.
Leo ni Jumatatu 20 Mfunguo Saba Rabiuthani 1447 Hijria mwafaka na 13 Oktoba 2025 Miladia.
Mkutano wa 8 wa Kimataifa wa Mshikamano na Watoto na mabarobaro wa Kipalestina, umefanyika leo Jumapili kwenye Ukumbi wa Mikutano ya Kiislamu mjini Tehran, kwa kuhudhuriwa na maafisa wa ndani,…
Spika wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu (Bunge la Iran) sambamba na kueleza kuwa usitishaji vita wa Gaza ni kushindwa kwa mipango michafu ya Waziri Mkuu wa utawala wa kizayuni…
Ushiriki wa timu ya taifa ya utawala wa kizayuni wa Israel umefutwa katika mashindano ya Dunia ya Jimnastiki ya Jakarta Indonesia kulalamikia jinai za utawala huo ghasibu dhidi ya Wapalestina…
Rais Andry Rajoelina wa Madagascar amewahakikishia wananchi kwamba yeye na Waziri Mkuu wanadhibiti hali nchini humo.
Waziri Mkuu wa Pakistan Shehbaz Sharif amelaani kitendo alichokiita ni cha uchokozi kutoka kwa nchi jirani ya Afghanistan.
Jamhuri ya Kiislamu ya Iran siku zote imekuwa na nafasi athirifu na chanya katika kulinda mazingira ya Bahari ya Kaspi na aina mbalimbali za wanyama, ikiwa ni pamoja na Caspian…
Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amelaani vikali mashambulio ya kijeshi yanayofanywa kila mara na utawala wa Kizayuni wa Israel dhidi ya Lebanon…
Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina HAMAS imeonya kwamba Tony Blair hatakaribishwa kuwa na nafasi yoyote ya uendeshaji wa Ghaza kufuatia kuanza kutekelezwa usitishaji vita katika eneo hilo la…
Baadhi ya makundi ya wanajeshi wa Madagascar yamekaidi amri na kuungana na maelfu ya waandamanaji wanaoipinga serikali, ambao wamekusanyika katika mji mkuu, Antananarivo, huku maandamano ya kupinga utawala wa Rais…
Baadhi ya makundi ya wanajeshi wa Madagascar yamekaidi amri na kuungana na maelfu ya waandamanaji wanaoipinga serikali, ambao wamekusanyika katika mji mkuu, Antananarivo, huku maandamano ya kupinga utawala wa Rais…
Kutunukiwa Tuzo ya Amani ya Nobel kiongozi wa upinzani nchini Venezuela María Corina Machado kumeibua hisia tofauti katika nchi za Amerika Kusini, huku baadhi ya viongozi wa nchi za eneo…
Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran, Abbas Araghchi amesema Jamhuri ya Kiislamu inakaribisha kusitishwa kwa mauaji ya kimbari ya utawala wa Israel katika Ukanda wa Gaza, huku akitoa indhari…
Wananchi wa Cameroon waliotimiza masharti ya kupiga kura leo Jumapili (12 Oktoba) wanaelekea katika vituo vya kupigia kura kushiriki katika uchaguzi wa Rais.
Asilimia 90 ya miundombinu ya Gaza imeharibiwa kabisa baaada ya vita vya miaka miwili vilivyoanzishwa na utawala ghasibu wa Israel.