Umoja wa Mataifa: Watu milioni 25 wanakabiliwa na baa la njaa Sudan
Umoja wa Mataifa umetangaza kuwa, vita vya wenyewe kwa wenyewe nchini Sudan vimesababisha mamilioni ya watu kuyakimbia makazi yao na karibu milioni 25 kukumbwa na baa kubwa la njaa.
Umoja wa Mataifa umetangaza kuwa, vita vya wenyewe kwa wenyewe nchini Sudan vimesababisha mamilioni ya watu kuyakimbia makazi yao na karibu milioni 25 kukumbwa na baa kubwa la njaa.
Fu cong, balozi na mwakilishi wa kudumu wa China katika Umoja wa Mataifa amesema kuhusiana na uvamizi wa kijeshi wa Marekani dhidi ya Venezuela kwamba, hatua hiyo ya Washington inakiuka…
Leo ni Jumapili 19 Mfunguo Saba Rabiuthani 1447 Hijria mwafaka na 12 Oktoba 2025 Miladia.
Kufuatia kutangazwa makubaliano ya kusimamisha vita na kubadlishana mateka kati ya Israel na Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas), Itamar Ben -Gvir Waziri wa Usalama wa Ndani wa…
Maelfu ya raia wa Palestina waliokimbia makazi yao kufuatia mashambulio ya utawala wa kizayuni wa Israel wanaendelea kurejea kaskazini mwa mji wa Gaza kufuatia makubaliano ya usitishaji wa mapigano yaliyofikiwa…
Baada ya Rais Donald Trump wa Marekani kukosa Tuzo ya Amani ya Nobel, msemaji wa Ikulu ya White House ameikosoa Kamati inayoandaa Tuzo ya Nobel kwa kutomtunuku rais huyo tuzo…
Maelfu ya wananchi wa Uruguay waliingia mitaani na mabarabarani jana Ijumaa, kushiriki maandamano ya kuitaka serikali yao itambue mzozo wa kibinadamu unaoendelea Gaza kama mauaji ya halaiki, sanjari na kukata…
Mwandishi mashuhuri wa gazeti la kizayuni la Haaretz Chaim Levinson amesema, japokuwa Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina HAMAS imepoteza hatamu za uongozi wa Ukanda wa Ghaza, lakini imefanikiwa…
Shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia wakimbizi (UNHCR) jana Ijumaa lilitoa wito wa kutekelezwa juhudi za kimataifa haraka iwezekanavyo ili kukabiliana na mgogoro unaoongezeka wa wakimbizi katika eneo la…
Chombo kimoja cha habari cha Kizayuni kimetangaza kuwa, zoezi la kuachiliwa huru matekani wa Palestina kutoka jela tano za Israel limeanza.
Duru za habari za utawala wa Kizayuni wa Israel zimekiri kwamba vita vya Ghaza vimeisha na Hamas imepata mafanikio mengi kiasi kwamba licha ya kupita miaka miwili ya mashambulizi ya…
Kamanda wa Jeshi la Wanamaji la Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu SEPAH amegusia uwezekano wa kutokea vita vya moja kwa moja vya kijeshi baina ya Iran na Marekani…
Mamia ya maelfu ya wananchi wa Yemen walifanya mikutano na maandamano ya nchi nzima kitaifa jana wakielezea kuwa kwao kuendelea kuitandika na kuitia adabu Israel kama haitoheshimu makubaliano ya kusitiza…
Mfalme Mohammed wa Sita wa Morocco jana Ijumaa alitoa amri ya kufanyika mageuzi ya kimsingi ili kulinda haki za kijamii wakati huu ambapo nchi hiyo imekumbwa na maandamano yanayoongozwa na…
Shirika la Umoja wa Mataifa la Mpango wa Chakula Duniani (WFP) jana Ijumaa lilionya kwamba wakimbizi nchini Ethiopia wako katika hatari ya kuteseka zaidi kwa njaa huku uhaba mkubwa wa…
Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina, HAMAS pamoja na makundi mengine washirika ya Muqawama wa Palestina yamesisitiza kuwa uamuzi wowote kuhusu utawala wa baadaye wa Ghaza ni "suala la…
Umati mkubwa wa wakazi wa mji wa Tehran na miji mingine kote Iran jana waliandamana kwa lengo la kuiunga mkono Palestina na kuonyesha mshikamano kwa wakazi wa Ukanda wa Gaza.
Somalia na Djibouti zimekaribisha makubaliano ya amani yaliyofikiwa kwa ajili ya kusitisitisha vita katika Ukanda wa Gaza na kupongeza juhudi za kikanda na kimataifa za kufanikisha usitishaji vita, kuhahkikisha misaada…
Somalia na Djibouti zimekaribisha makubaliano ya amani yaliyofikiwa kwa ajili ya kusitisitisha vita katika Ukanda wa Gaza na kupongeza juhudi za kikanda na kimataifa za kufanikisha usitishaji vita, kuhahakisha misaada…
Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya China amesisitiza kuwa nchi yake itachukua hatua "muhimu" ili kulinda haki halali za makampuni na raia wa China katika kukabiliana na vikwazo…
Mamlaka za afya nchini Senegal zimethibitisha kuaga dunia watu 17 katika kile kinachoelezwa kuwa mlipuko mkubwa wa Homa ya Bonde la Ufa (RVF). Mlipuko huu wa homa ya Bonde la…
Leo ni Jumamosi 18 Mfunguo Saba Rabiuthani 1447 Hijria mwafaka na 11 Oktoba 2025 Miladia.
Miaka minne tangu ilipojiondoa Marekani, kwa mara nyingine tena Afghanistan imegeuzwa nukta kuu inayoangaziwa na madola yenye nguvu duniani.
Khatibu wa Swala ya Ijumaaa iliyoswaliwa leo hapa mjini Tehran amesema kuwa, miaka miwili baada ya Operesheni kubwa ya Kimbunga cha Al-Aqswa haiba ya utawala wa Kizayuni imejaa msukosuko na…
Sayyid Abdul Malik Badreddin al-Houthi, kiongozi wa Ansarullah ya Yemen amesisitiza kuwa, utawala wa Kizayuni umefanya jinai za karne huuko Gaza kwa kutumia silaha za Marekani.
Vikosi vya jeshi la utawala haramu wa Israel vimeanza kuondoka katika baadhi ya maeneo Gaza baada ya makubaliano ya kusitisha mapigano na kuwaachilia mateka kupasishhwa.
Mwanaharakati wa upinzani wa Venezuela María Corina Machado ameshinda Tuzo ya Amani ya Nobel 2025 kwa ujasiri wa kupigania demokrasia na uchaguzi huru licha ya vitisho. Kamati ya Nobel imemsifu…
Rais wa Peru mama Dina Boluarte ameondolewa madarakani kwa kura nyingi za wabunge, kufuatia hoja kadhaa zilizowasilishwa na makundi mbalimbali ya vyama vya siasa bungeni.
Baada ya kutangazwa makubaliano ya usitishaji vita katika Ukanda wa Ghaza na ya kubadilishana mateka kati ya utawala wa Kizayuni wa Israel na Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina…
Makamu wa Rais wa Iran, Mohammad Reza Aref amesema matukio ya hivi karibuni yameonyesha nguvu ya Jamhuri ya Kiislamu na kutangaza kwamba, maadui sasa wanatambua shambulio lolote dhidi ya taifa…
Msemaji wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina Hamas amesema utawala wa Israel unajaribu kuhadaa, kufanyia hila na kuchuja baadhi ya vipengele katika makubaliano ya usitishaji vita.
Rais William Ruto wa Kenya ameahidi kuongoza juhudi za kuondoa masharti ya viza kwa Waafrika na kutatua mizozo inayokumba bara hilo.
Harakati ya Kiislamu ya Nigeria imelaani kitendo cha utawala wa Kizayuni cha kuendelea kuwashikilia wanaharakati wa msafara wa kimataifa wa meli nyingi wa Sumud uliokuwa ukielekea Ukanda wa Gaza, na…
Rais wa Russia, Vladmir Putin amesema viongozi wa Israel wamemtaka aieleze Iran kwamba, utawala huo haufuatilii vita na makabiliano zaidi na Iran, na una hamu ya kupunguza mvutano.
Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran imesisitiza kwa mara nyingine tena kwamba Jamhuri ya Kiislamu daima inaunga mkono mpango wowote unaolenga kukomesha vita na mauaji ya halaiki huko Gaza,…
Utawala unaoukalia kwa mabavu Palestina na Hamas hatimaye wamefikia maelewano juu ya kutekeleza awamu ya kwanza ya usitishaji vita huko Gaza.
Rais Felix Tshisekedi wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo amemtaka mwenzake wa Rwanda Paul Kagame kuacha kuwasaidia waasi mashariki ya DRC na kutengeneza amani.
Umoja wa Mataifa umetangaza kuwa, unapanga kupunguza kwa asilimia 25 vikosi vyake vya kulinda amani
Eritrea imepuuzilia mbali shutuma zilizotolewa na Ethiopia kwamba nchi hiyo inajiandaa kuanzisha vita ikisema ni ''matamshi ya uchochezi''.
Leo ni Ijumaa 17 Mfunguo Saba Rabiuthani 1447 Hijria sawa na 9 Oktoba 2025 Miladia.
Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Russia Maria Zakharova amesema, kuna ushahidi mpya unaoonyesha kuwa Ukraine inayasaidia makundi ya wanamgambo na ya kigaidi katika eneo la Sahara-Sahel barani…
Amir-Saeed Iravani, Balozi na Mwakilishi wa Kudumu wa Iran katika Umoja wa Mataifa, amesisitiza kuwa: "Hali ya eneo la Magharibi mwa Asia ni mbaya mno, na hali hiyo ni matokeo…
Viongozi mbalimbali duniani wamekaribisha tangazo la kusitishwa vita Ghaza kufuatia siku tatu za mazungumzo yasiyo ya moja kwa moja kati ya harakati ya ukombozi wa Palestina ya Hamas na utawala…
Bunge la Uhispania limeidhinisha vikwazo vya silaha vilivyopendekezwa na Waziri Mkuu Pedro Sanchez dhidi ya utawala wa kizayunii wa Israel.
Upinzani nchini Jamhuri ya Afrika ya Kati umetangaza kuwa utasusia uchaguzi mkuu uliopangwa kufanyika mwezi Disemba ambapo Rais Faustin-Archange Touadera atawania tena urais kwa muhula wa tatu.
Gazeti la Politico la nchini Italia limeripoti kuwa chama tawala nchini humo cha Brothers of Italy kimesema, kinapanga kuwasilisha mswada bungeni wa kupiga marufuku wanawake wa Kiislamu kuvaa vazi la…
Mkuu wa Shirika la Nishati ya Atomiki la Iran (AEOI) amekutana na kuzungumza mjini Tehran na afisa wa ngazi ya juu wa Shirika la Taifa la Nishati ya Atomiki la…
Wanaharakati sita wa Afrika Kusini ambao waliwekwa kizuizini huko Israel baada ya kutekwa nyara kutoka katika msafara wa kimataifa wa meli kwa jina la Global Sumud Flotilla kuelekea Gaza wamesimulia…
Raia wasiopungua 12 wameuawa na wengine 17 kujeruhiwa katika shambulio lililofanywa na wanamgambo wa Kikosi cha Msaada wa Haraka (RSF) katika jimbo la Darfur Kaskazini.
Rais Andry Rajoelina wa Madagascar jana aliyaalika makundi na asasi kadhaa za kiraia kwa ajili ya mazungumzo katika ikuu ya Rais.