Mchina adakwa na mabilioni ya fedha Dar
JESHI la Polisi Tanzania limesema linafuatilia na kuchunguza picha mjongeo inayomwonesha raia wa kigeni mwenye asili ya China akiwa na mifuko ya sandarusi iliyojaa fedha za ndani na za kigeni.…
JESHI la Polisi Tanzania limesema linafuatilia na kuchunguza picha mjongeo inayomwonesha raia wa kigeni mwenye asili ya China akiwa na mifuko ya sandarusi iliyojaa fedha za ndani na za kigeni.…
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk Hussein Mwinyi amewataka wananchi kuwa tayari kupisha miradi ya maendeleo inapopita katika maeneo yao na serikali italipa fidia stahiki. Kutokana…
ARUSHA; Wananchi wa Mkoa wa Arusha na mikoa ya jirani wamemshukuru Rais wa Tanzania, Dk Samia Suluhu Hassan kwa uwezeshaji wake wa programu ya vipimo na matibabu bure kwa magonjwa…
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk Hussein Ali Mwinyi, amesema Serikali inaendelea kujipanga kuimarisha matumizi ya mifumo ya kidigitali ili kudhibiti vifo vinavyotokana na ajali pamoja…
ZANZIBAR; Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Hussein Ali Mwinyi, amewahakikishia wananchi kuwa Serikali itawalipa fidia wote waliopisha utekelezaji wa miradi ya maendeleo katika maeneo yao,…
Picha ya pamoja – HabariLeo Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu, Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na Waziri wa Ulinzi na Jeshi…
Rais Samia aagana na Mkuu wa Majeshi – HabariLeo Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu, Samia Suluhu Hassan akiagana na Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi…
Samia akutana na viongozi Wizara ya Ulinzi, JKT – HabariLeo Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu, Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo na Viongozi wa…
NAIBU Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Wanu Hafi dh Ameir amesisitiza kuwa Tanza nia itaendelea kuwa taifa lenye vijana wenye ujuzi unaokidhi mahitaji ya soko la ndani na nje…
TANZANIA ina malengo makubwa ya kukuza tija katika zao la korosho ikiwa ni pamoja na kubangua korosho zote zinazozalishwa nchini ifikapo mwaka 2030. Ubanguaji wa korosho nchini ni sehemu muhimu…
NAIBU Waziri wa Maji, Mhandisi Kundo Mathew ametembelea mradi wa maji wa miji 28 wilayani Serengeti na kuagiza ndani ya siku 60 kilometa 30 za mtandao wa mabomba ziwe zimekamilika.…
DAR ES SALAAM; TIMU ya Taifa ya mpira wa miguu ya (Taifa Stars), ambayo ilikuwa irejee nchini Jumatano Januari 7, 2026, sasa itarejea Alhamisi Januari 8, 2026. Katibu Mkuu wa…
ARUSHA: Waziri wa Fedha, Balozi Khamis Mussa Omar, ameipongeza Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) kwa ufanisi mkubwa katika ukusanyaji wa mapato ya Serikali, hatua iliyochangia kuimarika kwa uchumi na utekelezaji…
VIKAO vya Kamati za Kudumu za Bunge vinatarajiwa kuanza Januari 13 hadi 23, 2026 jijini Dodoma. Taarifa ya Bunge imesema vikao hivyo ni kwa ajili ya maandalizi ya Mkutano wa…
WAZIRI wa Katiba na Sheria, Dk Juma Homera ametangaza kuwa Serikali ya Awamu ya Sita itaendelea kuchukua hatua za kuwapelekea wananchi Kampeni ya Msaada wa Kisheria ya Samia kwenye ngazi…
VURUGU zilizotokea nchini Oktoba 29, 2025 iliyokuwa siku ya uchaguzi mkuu na siku kadhaa baadaye, ni kosa lililofanywa na baadhi ya Watanzania huku wengi wao wakiwa hawajui kuwa, wanatumiwa kuangamiza…
SERIKALI imeitaka Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) kukomesha matumizi mabaya ya misamaha ya kodi ili malengo ya serikali ya kuvutia wawekezaji zaidi yafi kiwe. Waziri wa Fedha, Balozi Profesa Khamis…
MOROGORO: SERIKALI ya Awamu ya Sita itaendelea kuchukua hatua za kuwapelekea wananchi msaada wa kisheria kupitia programu ya Samia legal Aids ikilenga kuwaondolea changamoto za migogoro inayowakabili hususan inayohitaji…
KATIBU Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Ally Gugu, amewataka wananchi ambao bado hawajachukua Vitambulisho vya Taifa (NIDA) kufika katika Ofisi za Wilaya za mamlaka hiyo ili…
WAZIRI Mkuu, Dk Mwigulu Nchemba amesisitiza kuwa serikali itaendelea kuwekeza katika elimu inayojenga umahiri, ujuzi na maadili ili kuwaandaa vijana wenye uwezo wa kufikiri, kubuni na kufanya kazi kwa vitendo.…
RAIS Samia Suluhu Hassan amezipongeza taasisi na wataalamu katika sekta ya utalii na uhifadhi kwa kulinda vivutio vya taifa na kuimarisha hadhi ya utalii wa kimataifa wa Tanzania. Rais Samia…
DAR ES SALAAM: Waziri wa Nishati, Deogratius Ndejembe, amesema mradi wa Bomba la Mafuta Ghafi la Afrika Mashariki (EACOP) kutoka Uganda hadi Tanzania umezalisha zaidi ya ajira 10,000 pamoja na…
MKUU wa Mkoa wa Ruvuma, Ahmed Abbas amewaagiza wakuu wa wilaya zote katika mkoa huo kuwachukulia hatua wazazi watakaoshindwa kupeleka watoto shule kupata elimu. Agizo hilo amelitoa nyakati katika ziara…
DAR ES SALAAM: Klabu ya Singida Black Stars imesema haina pingamizi lolote kwa mamlaka husika endapo Miguel Gamondi atateuliwa kuwa kocha wa kudumu wa timu ya taifa ya Tanzania, Taifa…
HIFADHI ya Taifa ya Arusha imetajwa na Kituo cha Televisheni cha CNN kama moja ya maeneo bora ya kusafiri kwa mwaka 2026 pamoja na mkoa mzima wa Arusha. Ripoti iliyochapishwa…
JESHI la Polisi Mkoa wa Mbeya linawashikilia watu wawili kwa tuhuma za kuingiza nchini bidhaa za magendo kinyume na sheria ikiwemo vipodozi vyenye viambata vya sumu na mmoja kwa kuingiza…
RAIS wa Zanzibar, Dk Hussein Mwinyi amefungua Soko la Mbogamboga la Mombasa Mjini Unguja na kuagiza Mfuko wa Hifadhi ya Jamii Zanzibar (ZSSF) kuongeza bidii katika miradi ya maendeleo ikiwemo…
MOROCCO; TIMU ya Taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’ imeshindwa kuingia robo fainali ya michuano ya Mataifa ya Afrika baada ya kufungwa bao 1-0 na wenyeji Morocco katika mchezo wa hatua…
PEMBA; Rais mstaafu wa Tanzania, Dk Jakaya Kikwete, akikata utepe kuashiria uzinduzi wa jengo la ofisi ya Uhamiaji na makazi ya askari lililopo wilayani Micheweni, Mkoa wa Kaskazini Pemba, Kulia…
DAR ES SALAAM: Baraza Kuu la Waislamu Tanzania (BAKWATA) limepongezwa kwa kuimarisha amani, umoja na mshikamano nchini. Pongezi hizo zimetolewa na Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi, Ajira…
PEMBA; Rais mstaafu Awamu ya Nne wa Tanzania, Dk Jakaya Kikwete, akiwasili Kisiwani Pemba kwa ajili ya sherehe ya uzinduzi wa jengo la Ofisi ya Uhamiaji na Makaazi ya Askari,Wilaya…
MTWARA: MADIWANI wa Manispaa ya Mtwara Mikindani mkoani Mtwara wametakiwa kutokuwa chanzo cha migogoro itakayopelekea taharuki katika maeneo yao na badala yake waibue shughuli za kimaendeleo. Rai hiyo imetolewa wakati…
MOROCCO; TIMU ya Taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’ leo Januari 4, 2026 itashuka Uwanja wa Prince Moulay Abdellah mjini Rabat kuwavaa wenyeji Morocco hatua ya 16 Bora ya Kombe la…
DAR ES SALAAM; Taasisi ya kidini ya Al Ameen Foundation (AIF) ya Kijitonyama, Dar es Salaam, imekabidhi vifaa vya shule kwa watoto Kijiji cha Magoza, Wilaya ya Mkuranga mkoani Pwani.…
SHIRIKA la Reli Tanzania (TRC) limetoa ratiba ya safari za treni ya kisasa ya SGR baada ya serikali kutan gaza kurejesha safari kutoka Dar es Salaam -Dodoma na Dodoma kwenda…
NAIBU Waziri wa Afya, Dk Florence Samizi, kwa niaba ya Waziri wa Afya Mhe. Mohamed Mchengerwa, ametembelea na kuwajulia hali majeruhi wa ajali ya basi na lori iliyotokea usiku wa…
TIMU ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars imetinga hatua ya 16 bora ya Mashindano ya Mataifa ya Afrika (AFCON 2025) na kuweka rekodi ya aina yake, tangu timu hiyo ianze…
SERIKALI imesema kuwa itajenga Kiwanda cha Kutengeneza chakula cha samaki jijini Mwanza kwa lengo la kuwapunguzia gharama wafugaji wa samaki kwa njia ya vizimba ili kuongeza uzalishaji wa samaki nchini.…
WATAALAMU wa uchumi wametoa ushauri wa namna ya kukabiliana na hali ngumu ya kifedha mwezi Januari ikiwamo kuweka akiba mapema na kujiepusha na madeni mapya. Pia, wameshauri kutumia kipato vizuri…
WAZIRI Mkuu, Dk Mwigulu Nchemba amesema serikali haitakwama kutekeleza miradi mikubwa kwa fedha za ndani kutokana na kasi nzuri ya ukusanyaji wa mapato. Ameyasema hayo wakati akikagua ujenzi wa Bwawa…
GEITA: SERIKALI imekamilisha kufunga mifumo ya kunasa radi katika shule 12 zilizopo wilayani Bukombe mkoani Geita ikiwa ni sehemu ya kuwalinda wananchi pamoja na wanafunzi dhidi ya ajali za radi.…
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk Hussein Ali Mwinyi, amewasisitiza Wananchi kushirikiana na Serikali ili kuhakikisha mipango na miradi ya maendeleo inatekelezwa na kukamilika kwa wakati…
ARUSHA: WANANCHI na wafanyabiashara jijini Arusha wamesisitizwa kuimarisha usafi kwenye maeneo yao ili kujikinga na magonjwa mbalimbali. Aidha, makandarasi waliopewa zabuni za kukusanya taka wameagizwa kuhakikisha magari yao yanakuwa safi…
SIKU kabla ya uchaguzi, wakati na baada ya uchaguzi mara chache huwa tulivu. Katika demokrasia, siku hizo huleta hofu, kauli za ushindani na kuibua hisia. Tanzania haikuachwa nyuma. Matukio yaliyoripotiwa…
MWAKA Mpya 2026, ndio umeanza ikiwa ni siku ya pili tangu Watanzania walipoungana na watu wengine duniani kuupokea mwaka huo. Kwanza tunamshukuru Mungu kuwezesha wengi wetu kuuona mwaka na uwepo…
WILAYA ya Tunduru mkoani Ruvuma kupitia Idara ya Afya imeanza msako wa kuwatafuta wagonjwa wa Kifua Kikuu waliokatisha matumizi ya dawa ili waendelee kunywa, ikiwa ni mkakati wa kumaliza tatizo…
MAUZO ya korosho kwenye minada mbalimbali nchini yamevunja rekodi baada ya kuvuka Sh trilioni 1.2 ambazo zimekusanywa nchini, kutokana na kuuzwa tani 433,000 za korosho msimu huu unaotarajiwa kukamilika Machi…
MAMLAKA ya Mapato Tanzania (TRA) imejivunia ufanisi wa ukusanyaji wa mapato katika robo ya pili ya Mwaka 2025/2026 huku Desemba ikivunja rekodi za ukusanyaji wa mapato nchini kwa kukusanya Sh…
WAKATI Watanzania wakiungana na watu wengine duniani kote kuukaribisha Mwaka Mpya wa 2026, Rais Samia Suluhu Hassan amekabidhi zawadi mbalimbali za mwaka mpya kwa watu wenye mahitaji mkoani Kilimanjaro. Zawadi…
SHINYANGA: ASKOFU wa Kanisa la Ufunuo mkoani Shinyanga, Samawi Bendera amewashauri waumini wa kanisa hilo kujiepusha na vurugu kwani kuna baadhi ya nchi watu wake wamekuwa wakiingia kanisani kuhubiri kwa…