Waziri Mkuu kukagua ujenzi Bwawa la Kidunda leo
Waziri Mkuu kukagua ujenzi Bwawa la Kidunda leo – HabariLeo WAZIRI Mkuu, Mwigulu Nchemba leo anatarajiwa kuwa na ziara ya kikazi mkoani Morogoro. Taarifa ya Ofisi ya Waziri Mkuu imesema…
Waziri Mkuu kukagua ujenzi Bwawa la Kidunda leo – HabariLeo WAZIRI Mkuu, Mwigulu Nchemba leo anatarajiwa kuwa na ziara ya kikazi mkoani Morogoro. Taarifa ya Ofisi ya Waziri Mkuu imesema…
ENGLAND: Klabu ya Chelsea imethibitisha kumfuta kazi kocha mkuu, Enzo Maresca, raia wa Italia. Taarifa ya Chelsea imeeleza kuwa uamuzi huo unatoa taswira mpya ya kuirudisha timu kwenye ushindani na…
BUKOBA: Mbunge wa Jimbo la Bukoba Mjini, Mhandisi Johnston Mtasingwa, amekabidhi jumla ya magodoro 20 kwa Kituo cha Vipaji cha Tyaido Academy kilichopo Kata ya Buhembe, Manispaa ya Bukoba, mkoani…
IRINGA: Mbunge wa Jimbo la Iringa Mjini kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Fadhili Ngajilo, amefunga mwaka uliopita kwa bonanza lililojaa hamasa, burudani na matumaini mapya kwa vijana wa Iringa, akitumia…
MWAKA 2025 ulianza kwa furaha kwa baadhi ya mastaa wakifunga ndoa, kupata watoto na kushuhudia mafanikio mbalimbali. Hata hivyo, furaha hiyo iligeuka kuwa majonzi makubwa baada ya tasnia ya burudani…
TUNAPOUAGA mwaka 2025, dunia inatazama nyuma kwenye mfululizo wa matukio mazito yaliyobadili mwelekeo wa siasa, teknolojia, na usalama wa kimataifa. Huu umekuwa mwaka wa mabadiliko makubwa, ambapo mifumo ya zamani…
DAR ES SALAAM; MWAKA 2025 utaendelea kukumbukwa kama kipindi cha kihistoria kilicholeta mageuzi makubwa katika sekta ya usafirishaji na miundombinu nchini Tanzania. Katika mwaka huu, serikali iliongeza kasi ya utekelezaji…
DAR ES SALAAM; Mwaka 2025 umeacha kumbukumbu nzito kwa Watanzania, ukiwa na mchanganyiko wa matumaini, majonzi na majaribu makubwa. Miongoni mwa matukio yaliyogusa hisia za wengi ni kupoteza wapendwa, viongozi…
DAR ES SALAAM; Mwaka 2025 utaendelea kukumbukwa kama kipindi ambacho Tanzania iliimarisha kwa vitendo nafasi yake katika diplomasia ya kikanda na kimataifa. Kupitia mikutano ya ngazi ya juu, utekelezaji wa…
MWAKA 2025 umekuwa na huzuni kubwa kwa Tanzania baada ya kupoteza baadhi ya viongozi wake wakuu waliochangia kwa kiasi kikubwa katika siasa, uongozi na maendeleo ya taifa. Vifo vyao vimewaacha…
MAENDELEO ya afya ya msanii mkongwe wa muziki wa kizazi kipya na mbunge wa zamani wa Mikumi, Joseph Haule ‘Professor Jay’, yameimarika kwa kiasi kikubwa, huku ikitabiriwa kuwa atarejea rasmi…
MSANII wa muziki wa kizazi kipya na miondoko ya Singeli, Abdallah Ahmed, maarufu kama ‘Dulla Makabila’, amesema ameweka rekodi mpya katika safari yake ya sanaa baada ya kutumia Sh milioni…
OFISA Habari wa Klabu ya Young Africans, Ali Kamwe, amezua mjadala katika mitandao ya kijamii baada ya kuchapisha ujumbe unaogusia uwezekano wa kurejea mahusiano yake ya zamani. The post Ali…
BAGAMOYO: MAMLAKA ya Uwekezaji na Maeneo Maalum ya Kiuchumi Tanzania (TISEZA) imevunja rekodi kwa kusajili jumla ya miradi 915 yenye thamani ya dola za Marekani bilioni 10.95 kwa kipindi cha…
MSANII wa muziki wa kizazi kipya nchini, Rajab Abdul maarufu kama ‘Harmonize’, na mwigizaji Frida Kajala, wamevuta hisia za wadau wa burudani baada ya kuvishana pete ya uchumba kwa mara…
HALMASHAURI ya Manispaa ya Geita imeweka wazi kuwa imejipanga kikamilifu kuhakikisha kila shule inakuwa na miundombinu rafiki kwa watoto ambao ni wanafunzi wenye mahitaji maalum. Kaimu Mkurugenzi wa Halmashauri hiyo,…
MACHO ya mgeni yeyote anayetembelea kumbi za mikutano za mabunge kuanzia Dodoma, Tanzania, pale Nairobi, Kenya na hata London, Uingereza yatakutana na mandhari yanayofanana kwa namna ya ajabu. The post…
KATIKA anga za siasa za Tanzania zinazohitaji umakini na ustahimilivu wa hali ya juu, jina la Najma Murtaza Giga linasimama kama alama ya uongozi uliotukuka na utumishi uliotukuka.Akiwa amehudumu bungeni…
KATIKA Ukumbi wa Bunge la Tanzania, kila kengele ya kuashiria kuanza kwa kikao inapolia, macho ya wengi huelekea mlangoni kwa shauku kubwa.Pale, anapita Spika au Naibu Spika akiwa amejifunika vazi…
ABIRIA 49 wa basi la kampuni ya Makupa lenye namba za usajili T 958 DRK aina ya Sunlong, lililokuwa likisafiri kutoka Jiji la Arusha kuelekea Dar es Salaam, wamekwama kwa…
DESEMBA 29 makala haya ya JOHN MAPEPELE chini ya kichwa cha habari: ‘Mwanga wa Matumaini Sekta ya Dawa Tanzania’ yalikuwa katika mtazamo wa kijamii yakiangalia malengo au sababu saba za…
MKUU wa Wilaya ya Arusha, Joseph Mkude amezindua kampeni ya uhamasishaji wananchi kujiunga na mpango wa serikali wa Bima ya Afya kwa wote unaolenga kuwapa fursa ya matibabu wananchi bila…
SERIKALI kupitia Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia na Ofisi ya Waziri Mkuu – TAMISEMI imepokea taarifa ya awali ya Kamati ya Mapitio ya Sheria ya Elimu, Sura ya 353.…
UWEKEZAJI uliofanywa na serikali katika Bandari ya Tanga umeanza kuleta tija kutokana na ongezeko la shehena za mizigo kutoka mataifa mbalimbali katika bandari hiyo. Kwa mujibu wa uchunguzi wa gazeti…
MKUU wa Wilaya ya Kahama, Frank Nkinda amesema ni muhimu madiwani wakafahamu masuala ya itifaki na utawala bora ili kuepuka migogoro ikiwemo kusimamia vyema maendeleo ya miradi inayokwenda kutekelezwa. Nkinda…
WAZIRI wa Fedha Balozi Khamis Mussa Omar amesema sekta ya bima ina mchango mkubwa kukuza uchumi wa taifa hususani kulinda mali na shughuli za kiuchumi za wananchi na taasisi. Balozi…
MVUA kubwa zinaendelea kunyesha katika mikoa mbalimbali nchini na kusababisha uharibifu katika miundombinu pamoja na kwenye makazi ya watu. Mikoa ya Tabora, Shinyanga, Mwanza, Morogoro, Kilimanjaro na Dar es Salaam,…
MAMLAKA ya Vitambulisho ya Taifa (NIDA) imezindua namba ya kutuma ujumbe mfupi wa kufahamu namba ya utambulisho ya mwombaji wa kitambulisho itakayowezesha wananchi kufahamu namba zao za vitambulisho bila kufika…
SERIKALI imeanza kurekebisha miundombinu iliyoathiriwa na mvua zinazoendelea kunyesha ili kuhakikisha usalama wa wananchi na miundombinu inarejea katika hali yake ya awali. Taarifa iliyotolewa na Wizara ya Uchukuzi iliwataka wananchi…
SERIKALI imewataka wenye nyumba na wamiliki wa hoteli kufuatilia wapangaji wao mara kwa mara ili kujiridhisha kuwa wanaoishi katika nyumba hizo ni wapangaji halali waliosaini mkataba wa upangaji na wenye…
KATIKA mfumo wa utawala wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Bunge ni mhimili muhimu wenye jukumu la kutunga sheria, kuisimamia Serikali, na kuwakilisha wananchi. The post Fimbo ya Spika: Alama…
DAR ES SALAAM: MKURUGENZI Mtendaji wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI), Dk Peter Kisenge amesema idadi ya watalii wanaotibiwa katika tawi la Oyster Bay Plaza imeongezeka kutoka wagonjwa 10…
DAR ES SALAAM: IDARA ya Uhamiaji kupitia Kamishna Jenerali wa Uhamiaji imetangaza nafasi ya ajira kwa mujibu wa Kifungu cha 11 (1) cha Kanuni za Uendeshaji za Uhamiaji za mwaka…
WAZIRI Mkuu, Dk. Mwigulu Nchemba, leo Desemba 29, 2025, amefanya ukaguzi wa uzalishaji na usambazaji wa maji katika eneo la Ruvu Chini, mkoani Pwani. Ukaguzi huu ni sehemu ya jitihada…
MWEKEZAJI maarufu wa Marekani, Robert Kiyosaki, amesisitiza wito wake wa kuwekeza katika madini ya thamani na fedha za kidijitali akidai kuwa dola ya Marekani ipo hatarini kupoteza nguvu. Kiyosaki amesema…
KAGERA: Umoja wa wanachama wa mtandaoni wanaoishi ndani na nje ya Mkoa wa Kagera, unaofahamika kama Friends of Kagera, umeamua kuanza safari mpya ya kugusa maisha ya wahitaji na makundi…
WAKATI Watanzania wakiendelea kuungana na watu wengine duniani kusherehekea sikukuu za mwisho wa mwaka, maandalizi ya wanafunzi kurejea shuleni nayo yamepamba moto. The post Msipandishe bei vifaa vya shule first…
DIWANI wa Viti Maalumu Tarafa ya Suye mkoani Arusha, Michelle Mrema amewataka wanawake nchini kuendelea kuwa walezi wa amani, uvumilivu na mshikamano, akisisitiza kuwa misingi hiyo ni muhimu katika kuwalea…
DAR ES SALAAM: Riyard Mahrez ni kama amegoma kuzeeka hivi, katika maisha ya soka nadra sana ingawa inatokea kumkuta mchezaji wa miaka 34 akiwa bado anakiwasha. Mpaka sasa AFCON 2025,…
MAKUNDI ya watalii kutoka barani Ulaya na Asia yakitumia ndege binafsi yameendelea kumiminika katika msimu huu wa chini wa utalii kwenda kuangalia vivutio vya utalii katika Hifadhi ya Taifa ya…
DAKTARI Bingwa Bobezi katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili (MNH), Frank Muhamba amejiwekea utaratibu wa kutumia muda wake wa likizo kutoa huduma za kibingwa bobezi katika Hospitali ya Rufaa ya…
MKUU wa Wilaya ya Ilala, Edward Mpogolo ameliagiza Jeshi la Polisi kupitia Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kipolisi Ilala, Yustino Mgonja kutumia utaalamu na timu yake kukamata mara moja kundi…
DAR ES SALAAM: MKUU wa Wilaya ya Ilala Edward Mpogolo ameliagiza Jeshi la Polisi kupitia Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kipolisi Ilala, ACP Yustino Mgonja kutumia utaalamu na timu yake…
ARUSHA: DIWANI wa Viti Maalum Tarafa ya Suye mkoani Arusha, Michelle Mrema, amewataka wanawake nchini kuendelea kuwa walezi wa amani,uvumilivu na mshikamano, akisisitiza kuwa misingi hiyo ni muhimu katika kuwalea…
MOROCCO; Simon Msuva mfungaji wa bao la Tanzania (Taifa Stars) katika mchezo dhidi ya Uganda (The Cranes) uliofanyika Desemba 27, 2025 fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON), akishangilia…
MOROCCO;MOROCCO; PICHA za matukio mbalimbali mchezo wa Kundi C fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON) kati ya Uganda (The Cranes) dhidi ya Tanzania (Taifa Stars) uliochezwa usiku wa…
IRINGA: Bonanza kubwa la michezo lililoandaliwa na Mbunge wa Iringa Mjini, Fadhili Ngajilo, lijulikanalo kama Ngajilo Bonanza 2025, limezinduliwa rasmi leo katika Uwanja wa Samora, Manispaa ya Iringa, huku likitarajiwa…
MBEYA: Hatua ya Bodi ya Maji Bonde la Rufiji kupitia Mradi wa NBS–USANGU kuanza urejeshaji wa mito iliyopoteza mwelekeo wake wa asili imeanza kuandika ukurasa mpya wa matumaini kwa wananchi…
WAZIRI wa Mambo ya Ndani, George Simbachawene ametoa mwito kwa Watanzania kulinda amani na kudumisha upendo, kwani vimeleta mwanga ili wanadamu waishi kwa furaha. Simbachawene aliyasema hayo katika ibada ya…
MWAKA 2025 unamalizika na hivi karibuni tunaukaribisha Mwaka Mpya wa 2026. Ni desturi ya wengi kuwa na shamrashamra za hapa na pale kuukaribisha Mwaka Mpya, siku ya mkesha ni Desemba…