Serikali Shinyanga yaahidi kusaidia watoto yatima
MKUU wa Mkoa wa Shinyanga, Mboni Mhita ametoa ahadi kwa watoto yatima na wanaoishi kwenye mazingira magumu kuwanunulia sare za shule na kuwalipia bima ya afya ili waweze kupata matibabu.…
MKUU wa Mkoa wa Shinyanga, Mboni Mhita ametoa ahadi kwa watoto yatima na wanaoishi kwenye mazingira magumu kuwanunulia sare za shule na kuwalipia bima ya afya ili waweze kupata matibabu.…
ARUSHA: SHIRIKA Lisilo la Kiserikali la Pingo’s Forum linapanga kutumia zaidi ya Sh milioni 150 kwa ajili ya miradi ya maendeleo pembezoni mwa Wilaya ya Longido mkoani Arusha ikiwemo mradi…
ARUSHA: NAIBU Waziri wa Madini, Dk Steven Kiruswa amesema wananchi wote waliojenga maeneo ambayo barabara ya Siha wilayani Hai mkoani Kilimanjaro hadi Longido mkoani Arusha itakapopita watalipwa fidia kupisha ujenzi…
MRADI wa Eco-School ni muhimu katika kuimarisha elimu ya mazingira na maendeleo endelevu kwa wanafunzi, jamii na taifa kwa ujumla. Mradi huu unawawezesha watoto kujifunza kwa vitendo, kukuza uongozi na…
MAMLAKA ya Dawa na Vifaa Tiba (TMDA), imetoa mafunzo maalumu kwa waganga wafawidhi, wafamasia na wakaguzi wa dawa kutoka wilaya nne za Mkoa wa Tanga. Meneja wa TMDA Kanda ya…
SHIRIKA la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC) linaendelea na mchakato wa kutekeleza mradi wa Bomba la Gesi kutoka Kinyerezi kwenda Chalinze utakaogharimu zaidi ya Sh bilioni 2.3. The post Mradi…
UCHUNGUZI kuhusu ajali ya helikopta ya uokoaji iliyotokea katika Hifadhi ya Taifa ya Kilimanjaro (KINAPA) umeanza kwa lengo la kubaini chanzo cha ajali hiyo iliyotokea juzi na kusababisha vifo vya…
WAKATI waumini wa dini ya Kikristo nchini na duniani wakiendelea kusherehekea Sikukuu ya Krismasi ya kuzaliwa kwa Yesu Kristo, watoto 13 wamezaliwa nchini katika hospitali mbalimbali. The post Watoto 13…
WAZIRI Mkuu, Dk Mwigulu Nchemba ametoa wito kwa viongozi wa dini kuendelea kushirikiana na serikali katika kutoa elimu ya umoja na amani, kupinga chuki, migawanyiko na vitendo vyovyote vinavyoweza kuvuruga…
PWANI: Waziri wa Maji, Jumaa Aweso ameziagiza Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) kuhakikisha inaondoa mgawo wa maji kwa wakazi wa Dar es Salaam na…
SIKUKUU ya Krismasi imeendelea kuwa chanzo cha fursa kwa wananchi, hususan wale wanaojishughulisha na huduma katika maeneo ya burudani. Wilayani Kigamboni jijini Dar es Salaam, mpigapicha maarufu anayejulikana kama Rasta…
WAZAZI na walezi wametakiwa kuwa makini wanapowaruhusu watoto wao kwenda baharini kusherehekea, hususan katika kipindi cha sikukuu, ili kuepusha matukio ya ajali na madhara yanayoweza kuepukika. The post Wazazi waaswa…
WATANZANIA wametakiwa kulinda na kutunza tunu ya taifa ya amani, umoja na mshikamano, pamoja na kujiepusha na mambo yanayoweza kusababisha mifarakano miongoni mwao. The post Askofu Mlola:Tusiharibu tunu ya amani…
ASKOFU wa Jimbo Katoliki la Geita, Flavian Kassalla, ametoa wito kwa Watanzania kujenga tabia ya uungwana katika ushindani wa kisiasa ili usiwe chanzo cha kuvunja agano la amani kati yao…
MTWARA: JESHI la Polisi mkoani Mtwara kwa kushirikiana na wananchi pamoja na vyombo vingine vya dola limesema kuelekea sikukuu za mwisho wa mwaka Krismasi na mwaka mpya usalama wa wakazi…
WAUMINI katika makanisa mbalimbali Zanzibar wametakiwa kuenzi upendo, amani na maadili mema katika maisha yao ya kila siku kama maana halisi ya Krismasi. Ibada za Krismasi zimeendelea kutoka usiku wa…
RAIS wa Uganda, Yoweri Kaguta Museveni, amezindua rasmi Uwanja wa Hoima City wenye uwezo wa kuchukua watazamaji 20,000, sehemu ya maandalizi ya Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON) 2027, litakaloandaliwa…
LONGIDO: Fedha Sh milioni 90 zimechangwa ili kuvuta maji kutoka chanzo cha maji kilichopo kata ya Sinonik, Wilaya ya Longido kwa lengo la kuwahakikishia wananchi wa kata hiyo maji safi…
MSANII maarufu wa muziki wa rap, Sean “Diddy” Combs, ameomba Mahakama ya Rufaa ya Marekani imwachilie huru na kutengua hukumu yake ya kifungo cha miezi 50 gerezani alichohukumiwa kutokana na…
RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Samia Suluhu Hassan, amewataka Wakristo na Watanzania wote kuitumia Sikukuu ya Krismasi kama fursa ya kuimarisha upendo, unyenyekevu na kusaidiana, ili kuendeleza…
KIGOMA; TAASISI zisizo za kiserikali mkoani Kigoma zimeomba fedha kwa wahisani ili kusaidia jamii zenye uhitaji zimetakiwa kuhakikisha misaada ya fedha na vitu mbalimbali vinavyoombwa vinawafikia wahitaji. Kiongozi wa wanajadi…
KIONGOZI wa Kanisa Katoliki Duniani, Papa Leo XIV, anatarajiwa kuongoza Misa yake ya kwanza ya Krismasi katika Basilika ya Mtakatifu Petro, mjini Vatican, usiku wa Krismasi. Inatarajiwa kuwa katika ibada…
KIONGOZI wa Kanisa Katoliki Duniani, Papa Leo XIV, ametoa wito wa kusitisha mapigano kwenye maeneo yenye migogoro duniani wakati wa Sikukuu ya Krismasi. The post Papa Leo XIV aitaka Dunia…
ZAIDI ya wananchi 700 kutoka kaya 234 katika vijiji vitano vya wilaya ya Pangani, mkoani Tanga, wanatarajiwa kulipwa fidia ya Sh bilioni 35 kupisha utekelezaji wa mradi wa mchanga mzito…
TANGA: Mamlaka ya Maji na Usafi wa Mazingira Tanga (TangaUWASA) imesema mradi wa hatifungani ya kijani unatarajiwa kukamilika Machi 2026. Mradi huo utawapa wakazi wa mkoa huo uhakika wa majisafi…
NAIBU Waziri wa Ujenzi Eng. Godfrey Kasekenya ameutaka Wakala wa Barabara nchini (TANROADS), kuja na mpangokazi unaotekelezeka utakaowezesha ujenzi wa barabara na madaraja wilayani Ileje kukamilika kwa wakati. Amesema…
INDONESIA imeweka wazi dhamira yake ya kuimarisha ushirikiano wa kifedha kwa nchi zinazoendelea kwa kutangaza mchango wa dola bilioni 1 kwenye Benki ya Maendeleo ya BRICS (NDB). The post Indonesia…
WATUHUMIWA wawili, Marco Maginga (47) na Mwita Maginga (45), wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Musoma, mkoani Mara, wakikabiliwa na shtaka la mauaji ya mwanamke Rodha Jonathani (42). The post…
DAR ES SAALM; WAZIRI Mkuu Dk Mwigulu Nchemba, ameagiza watumishi wa Wakala wa Ufundi na Umeme (Temesa) waliohusika na ubadhirifu wa fedha kiasi cha Sh bilioni 2.5 wafukuzwe kazi mara…
MSANII wa Bongo Movie, Gabo Zigamba, amewataka watu kuacha chuki kwa wale waliowatangulia katika maisha au taaluma zao. Akiandika katika ukurasa wake wa Instagram, Gabo amesema watu ambao waliokuzidi kitaaluma…
KWA kipindi cha Novemba 10 hadi 15 mwaka 2025 na kwa neema ya Mungu, nilitembelea Hifadhi ya Taifa Ruaha (RUNAPA) mkoani Iringa, Nyanda za Juu Kusini mwa Tanzania. Hifadhi hiyo…
DAR ES SALAAM: WIZARA ya Afya imetangaza rasmi mwelekeo mpya wa kimkakati wa kuharakisha ujenzi wa viwanda vya dawa na bidhaa za afya nchini, kwa lengo la kuimarisha usalama wa…
MWIMBAJI maarufu wa nyimbo za Injili nchini Tanzania, Ambwene Mwasongwe, amewapa mashabiki na Watanzania ujumbe wa faraja na matumaini, akisisitiza umuhimu wa kumtegemea Mungu katika kila hatua ya maisha. The…
MSANII wa muziki anayefahamika kwa jina la Haroun Rashid maarufu kama Inspector Haroun Babu ameweka wazi matarajio yake ya kuendelea kufanya kazi na wasanii mbalimbali wanaofanya vizuri katika muziki wa…
JESHI la Polisi kwa kushirikiana na vyombo vingine vya ulinzi na usalama limehakikishia umma kwamba linaendelea kuimarisha ulinzi wakati wote wa sherehe za mwisho na mwanzo wa mwaka, zinazotanguliwa na…
MSANII mkongwe wa Bongo Fleva, Haroun Rashidi maarufu kama Inspector Haroun Babu, ameendelea kudhihirisha uimara na ubobezi wake katika muziki baada ya kuachia nyimbo mbili mpya zinazojulikana kama “AI” na…
ARUSHA: NAIBU Waziri wa Wizara ya Viwanda na Biashara, Patrobas Katambi amekiagiza Kituo cha Zana za Kilimo na Teknolojia Vijijini (CAMARTEC ) kuendeleza bunifu zitakazowezesha kilimo kuwa na mvuto wakati…
TAASISI ya Tiba ya Mifupa na Ubongo Muhimbili (MOI) imesema imetimiza malengo iliyojiwekea ya kuwahudumia wagonjwa kwa zaidi ya asilimia 99 mwaka 2025, huku wagonjwa wa ajali wakiongoza kwa asilimia…
KATIKA mwambao wenye utulivu wa Ziwa Nyasa mkoani Ruvuma, eneo ambalo mara nyingi husimuliwa kwa mandhari yake ya kuvutia, rasilimali za kipekee na watu wake wenye bidii, upepo wa matumaini…
SHINYANGA: WAZIRI wa Madini, Anthony Mavunde amewaeleza wachimbaji wadogo kuwa leseni zao ambazo zitaisha muda wake mwezi Januari 2026, hawatanyang’anywa kama wanavyodhania bali zihuishwe waendelea kuzitumia bila usumbufu. Mavunde amesema…
“TUNASHUKURU serikali imejitahidi kupitia vikao mbalimbali, wakiwemo wadau mbalimbali ambao ni madereva na matunda tunayaona. Luzicargo na tenki (malori ya mizigo yasiyo ya kontena) badala kwenda Sumbawanga Road wanavuka moja…
ARUSHA: ZAIDI ya wakazi 30,000 wa vijiji 11 vya Tarafa ya Engarenaibor wilayani Longido mkoani Arusha wameondokana na changamoto kusaka usafiri kwa mama wajawazito na watoto baada ya serikali kupeleka…
ARUSHA: MKUU wa Chuo cha Uhasibu (IAA) mkoani Arusha, Profesa Eliamani Sedoyeka amesema mwaka wa fedha Julai 2025 hadi Juni 2026, chuo hicho kimetenga Sh bilioni 4 kuboresha miundombinu ya…
MKURUGENZI Mtendaji wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI), Dk Peter Kisenge amesema taasisi hiyo imekuwa ikitoa msamaha wa takribani Sh milioni 200 kila mwezi kwa wagonjwa wa moyo wasiokuwa…
WAZIRI wa Ujenzi, Abdallah Ulega, amewataka wakandarasi kuweka kipaumbele utu na kuondoa kero kwa wananchi kila wanapopewa kazi za ujenzi akisisitiza kuwa ndiyo mwelekeo wa Serikali ya Rais Samia Suluhu…
SERIKALI imefanikiwa kutoa vitambulisho vya matibabu ya bure na bima za afya kwa wazee 1,256,544 na inaendelea kutoa huduma za matunzo katika makazi 13 ya wazee yanayomilikiwa na serikali. Waziri…
WAZIRI wa Ujenzi, Abdallah Ulega amewataka wakandarasi kuweka kipaumbele utu wa wananchi na kuondoa kero kila wanapotekeleza miradi ya ujenzi nchini, akisema huo ndiyo mwelekeo wa Serikali ya Rais Samia…
DAR ES SALAAM; Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara, Patrobas Katambi, amelitaka Baraza la Ushindani (FCT) kuendelea kulinda na kusimamia ushindani wa haki, ili kuondokana na vitendo vya ukiritimba, upangaji…
BEI ya dhahabu imepanda na kuvunja rekodi, ikiuza kwa zaidi ya dola 4,400 kwa gramu kwa mara ya kwanza katika historia ya soko hilo. Wachambuzi wa masoko wanasema ongezeko hilo…
MAMLAKA ya Kulinda Mazingira nchini Ethiopia imetangaza kuwa itaanza kupiga marufuku matumizi ya mifuko ya plastiki kuanzia Januari 31, 2026. Hatua hiyo inafuatia tangazo lililothibitishwa na Bunge mwezi Julai 2025.…